Jamani nauliza kaswali...hivi mzazi wako akikaa vibaya(.....) inabidi ufanyeje?

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
321
nina maana hawa UVCCM na hii ishu waliyoibuka nayo ni sahihi? au ingebidi wajifanye kama hawaoni au wangetumia mbinu nyingine kutoa hizo kauli zao?
 
Nia si tamko la nini wala nini...
The main thing was insulting Dr.Slaa, period!
Ingekuwa ni mambo ya chama wangejadili kwenye vikao vya ndani kwa ndani!..
The guys were just finging A FORUM for shyiting!
 
nina maana hawa UVCCM na hii ishu waliyoibuka nayo ni sahihi? au ingebidi wajifanye kama hawaoni au wangetumia mbinu nyingine kutoa hizo kauli zao?


Kipusy...hawa CCM na cikinda vyao wanafikiri bado akili za watanzania fupi kama za mwaka 47 za kupelekwa mzobe kama kondoo machinjoni

Soma vizuri tamko lao between the lines utagundua hakuna lolote zaidi ya defamation na hakuna lengo jingine

Copy my words...2015 hiyooooo imeshaanza,

Wanatakla irudi bungeni wamsafishe mjinga mwenzao waliolala wote kwwenye matope
 
nina maana hawa UVCCM na hii ishu waliyoibuka nayo ni sahihi? au ingebidi wajifanye kama hawaoni au wangetumia mbinu nyingine kutoa hizo kauli zao?

Nimesoma kwa makini nikafikiri na kuwaza kiasi,Nilichogundua ni kuwa kama utaangalia kwa makini nia ya tamko haikuwa na msingi wowote.Why? Wanachosema ni mawaziri and specifically Sitta na Mwakyembe wamekosea kwa kupinga maamuzi ya wenzao na wirzara zao! Huu niujinga wa kuendelea kukumbatia Ufisadi.Kama wanajali wangipongeza hatua ya hawa mawaziri kwani ni ya kimapinduzi! nafikira na hawa waheshimiwa waanze kuona kuwa kuna haja ya kuachana na chama cha kihuni ilil wawe huru kupigania haki za nchi hii!
Pia wanadai wanataka Suala la Dowans lirudi bungeni siyo kwa sababu siyo haki Dowans kulipwa kwa kodi za watanzania no ila nkwa sababu wanataka ajulikani mmiliki wa iliyokuwa mrithishaji wa Dowans (Richmond) isn't this rediculus? Wanapigania nini hawa? so as ambavyo mnaona inatakiwa irudi bungeni ili ...........................Kuna lingine hapa jamani.! But this I know kuwa hawa UVCCM hawana lao wametumwa tu! Tatizo ni kuwa hivi hawa wapuuzi wanafikiria watanzania ni watu wa aina gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom