jamani naombeni msaada wenu

chazmsangi

Member
Oct 15, 2010
5
0
nahitaji kujifunnza kuhusu mambo ya hisa zinavyofaidisha pia hata mahesabu yake ni jinsi gani ntpata faida nikiwekeza please help me
 
nahitaji kujifunnza kuhusu mambo ya hisa zinavyofaidisha pia hata mahesabu yake ni jinsi gani ntpata faida nikiwekeza please help me

Naomba kama utaweza, 1. chagua kampuni yoyote pale Dar Stock exchange. (Dar Es Salaam soko la kununua na kuuza hisa). Nadhani hata ukienda TIC watakupatia kwa furaha (goodluck chaz). chukua Jarida la repoti ya mwaka (The company annual report)

2. Tutajaribu na wenzetu tufundishane, uwekezaji wa hisa zinavyofaidisha na tuchakachue aljebra kidogo.
 
Hisa ktk nchi yenye fedha/uchumi usio stable ni gambling.
Kama unaweza fanya biashara nyingine, fanya!
Kusma majarida na kupata maelezo ni tabia njema
 
Back
Top Bottom