Jamani naombeni mnipokee

PrettyI

Member
Aug 16, 2012
7
3
Habari zenu wana jf
Mi ni mgeni nimejiunga nanyi baada ya kuvutiwa na michango yenu ya kila siku na napata mafunzo sana,
Naombeni ushirikiano wenu
nawapendajeeeeeeeeeeeeeeee
Asanteni n mbarakiwe
 
Habari zenu wana jf
Mi ni mgeni nimejiunga nanyi baada ya kuvutiwa na michango yenu ya kila siku na napata mafunzo sana,
Naombeni ushirikiano wenu

nawapendajeeeeeeeeeeeeeeee
Asanteni n mbarakiwe

Karibu sana jamvini, nimevutiwa na hapo kwa red, unaweza kufafanua zaidi?
 
karibu mgeni, pita hadi chumbani. Jiskie ndo mama mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom