Jamani mwenzenu demu wangu ni mjeuri,anakiburi na mkaidi sana nimfanyeje.....?

Si kwamba nakata tamaa mapema i have my best anajidai kaacha na misamahaa kibao siku tu tayari karudia mabo yake!
mwanamke mzuri hatafutwi bali anatengenezwa, kwa uamuzi wa kutafuta mwingine ukitegemea atakuwa bora kuliko huyo ni kujifariji tu kwa muda.
 
wanajamvi naombeni msaada kwa huyu mdada sijui ata nini nimfanyie anakiburi na mjeuri ajabu akiambiwa tofauti na alivyotegemea ananuna wenda ata asiongee ama kama tunaongea kwa simu anakata na hapokei simu, nikimwambia nitamwacha analia na kulalamika eti nimepata mtu mwingine na ndiyo maana nimeamua kumwachaa,,,, kiukweli mimi ni mwaminifu ila sasa anaifanya niamini msemo ambao mwalimu wangu aliniambia nikiwa form two kwamba kuwa na demu mmoja unatafuta uginjwa wa moyo....kiukweli namppenda san na ndiyo maana sijaribu ata kumchiti ila sasa natamani ata ajikoze mdada mwenye kuhitaji mume tuendelee maana sasa inatosha naumia kiukweli acheni masihara kwa mapenzi yanauma kuliko kuchapwa mboko sure....msaada ata kama kuna mdada ambaye yupo siriasi naomba aje tujenge mahusiano ya kweli mimi naweza kumilikiwa bila ata kusumbua love you wanajamiii mnanielimisha mengi sana!

Mwalimu wako ni chizi yaani form two anakuambia shudu za namna hiyo kweli?
 
Kuwa na mdasa mwingine inaweza kuwa ndo dawa ya kiburi chabhuyo dada. Am just saying....
::
Ndege wawili kwa jiwe moja,,huku unataka dawa ya kiburi huku unataka mdada aliye serious !!
::
Tahadhari
Usijeruka jivu ukakanyaga moto.
=
 
Haueleweki wewe.
Wewe ni wale wanao ongea bila kufikiria wanachokiongea mwenziwake atareact vipi.

Alafu yaonesha kuwa wewe si muaminifu, mdanganyifu, na hapa tayari ushatudanganya ili tufikiri upo perfect. Shida yako haswa upate mwanamke humu ndani, na umekuja na gia ya kumsingizia dada wa watu vitu sio vya kweli.

Unajifanya mujanja sana wewe, hapo mwanamke lazma anune. tatizo ni wewe unayofanya na kuongea hayaingi akilini. Umechetuka akili wewe.

Siwezi kufikiria mwaalim ndio kazi yao kuwafundisha wanafunzi wao maisha yao ya kimapenzi.
Yaonesha mwalim wako alikuwa wa kihuni amekufundisheni uhuni.
Uhuni uliofundishwa ndio unao mfanya demu wako anune, uwo ndio ukweli halisi.

Halafu usifikiri mwanamke hapa atajileta kwako, ikiwa ushasema mwalim wako kakufundisha uwe na wanawake zaidi ya mmoja wengi ili usiwe mgonjwa. Kuna mwanamke anataka kujingiza kwenye moto, labda mwanamke wa kihuni kama wewe mwenyewe.

fikiri kabla ya kuongea
 
wanajamvi naombeni msaada kwa huyu mdada sijui ata nini nimfanyie anakiburi na mjeuri ajabu akiambiwa tofauti na alivyotegemea ananuna wenda ata asiongee ama kama tunaongea kwa simu anakata na hapokei simu, nikimwambia nitamwacha analia na kulalamika eti nimepata mtu mwingine na ndiyo maana nimeamua kumwachaa,,,, kiukweli mimi ni mwaminifu ila sasa anaifanya niamini msemo ambao mwalimu wangu aliniambia nikiwa form two kwamba kuwa na demu mmoja unatafuta uginjwa wa moyo....kiukweli namppenda san na ndiyo maana sijaribu ata kumchiti ila sasa natamani ata ajikoze mdada mwenye kuhitaji mume tuendelee maana sasa inatosha naumia kiukweli acheni masihara kwa mapenzi yanauma kuliko kuchapwa mboko sure....msaada ata kama kuna mdada ambaye yupo siriasi naomba aje tujenge mahusiano ya kweli mimi naweza kumilikiwa bila ata kusumbua love you wanajamiii mnanielimisha mengi sana!

Inavyoonekana ulishamtangazia kama utamuoa ndo maana ukimwambia kumwacha analia kama vp mpige chin na uanzishe uhusiano mpya na uhakikishe unakuwa na mademu zaidi ya wawil ambapo utakuwa unawachuja mmoja mmoja mpaka mwishon atabak mmoja ambae huyo ndo atakuwa wa ukweli,hakikisha hawatambui kipato chako na usipende kuwapa sana pesa na wasijuane wala usiwaambie kama utawaoa hiyo itakuwa siri yako moyoni pia hakikisha unajiepusha na maradh hasa Ukimwi. Hii inaweza kukusaidia japo naona kama vile we ni domo zege, Ni hayo tu!
 
mwanangu asante kwa ushauri wako ila sina mandazi mdomoni kaka..
Inavyoonekana ulishamtangazia kama utamuoa ndo maana ukimwambia kumwacha analia kama vp mpige chin na uanzishe uhusiano mpya na uhakikishe unakuwa na mademu zaidi ya wawil ambapo utakuwa unawachuja mmoja mmoja mpaka mwishon atabak mmoja ambae huyo ndo atakuwa wa ukweli,hakikisha hawatambui kipato chako na usipende kuwapa sana pesa na wasijuane wala usiwaambie kama utawaoa hiyo itakuwa siri yako moyoni pia hakikisha unajiepusha na maradh hasa Ukimwi. Hii inaweza kukusaidia japo naona kama vile we ni domo zege, Ni hayo tu!
 
Kwa anayejua ukweli kwamba wanaume wengi ni kawaida kuwa na mademu zaidi ya 2 ata kama ameoa anaelewa ila sasa you have to learn kuwa mara nyingi si zote girls nadiyo wanasababisha bwana zao waende nje ama kuwachiti, hapa nilisema kama hupo na si mburula wa mapenzi haimanishi siwezi kutafuta mahala popote maana sina mandazi mdomoni najua jinsi ya kutongoza ata ikibidi kudanganya sawa....! But not what i was trying to say ni jinsi ninavyojituma na ninachopata kama malipo yangu kumpenda uhalisianaumia kama wewe uamini haya yapo endelea na akili yako inayo kutosha wewe make seemed huna ziada ya kusaidia wanajamii wenzako nimeomba ushauri unaniponda ili upate nini sasa...be wise guy....!
haueleweki wewe.
Wewe ni wale wanao ongea bila kufikiria wanachokiongea mwenziwake atareact vipi.

Alafu yaonesha kuwa wewe si muaminifu, mdanganyifu, na hapa tayari ushatudanganya ili tufikiri upo perfect. Shida yako haswa upate mwanamke humu ndani, na umekuja na gia ya kumsingizia dada wa watu vitu sio vya kweli.

Unajifanya mujanja sana wewe, hapo mwanamke lazma anune. Tatizo ni wewe unayofanya na kuongea hayaingi akilini. Umechetuka akili wewe.

Siwezi kufikiria mwaalim ndio kazi yao kuwafundisha wanafunzi wao maisha yao ya kimapenzi.
Yaonesha mwalim wako alikuwa wa kihuni amekufundisheni uhuni.
Uhuni uliofundishwa ndio unao mfanya demu wako anune, uwo ndio ukweli halisi.

Halafu usifikiri mwanamke hapa atajileta kwako, ikiwa ushasema mwalim wako kakufundisha uwe na wanawake zaidi ya mmoja wengi ili usiwe mgonjwa. Kuna mwanamke anataka kujingiza kwenye moto, labda mwanamke wa kihuni kama wewe mwenyewe.

Fikiri kabla ya kuongea
 
Mwangu real ati..nishaurini na mnipeni uzoeefu maana wengi wanaona natafuta demu tena hapa ila siyo uongo akipatikana hapa ata sehemu nyingine akaonesha tofauti na huyu sitakuwa na chaguo zaidi ya kuachana na huy ambaye ni mbambe mwenye makusudi ya kweli!
"kama unatafuta mwingine vilee??" ahaa kumbe ni fasihi
 
Back
Top Bottom