Jamani mshahara wa May 22 vipi

Achà matusi hayo. Nilizaliwa kabla ya TANU na sikujiunga nayo ingawa nili support harakati zake za uhuru. then ikaja CCM , nikaikataa maana policy za Nyerere sikuzipenda na mpàka leo maana sioni la maana. After all Uhuru ungelikuja since we were a protectorate under British guardianship
Sawa,hebu tuendelee kukipigania chama chetu kipya Umoja party
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom