Jamani mbona hawa mateja wamefikia hatua hii lakini.....................................

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,315
13,282
Kwa kweli nilichokiona leo,sikuamini!wengine wanalilia ulijali kumbe kuna watu hawana shida nao!leo maeneo ya magomeni,kuna teja[mtumiaji madawa ya kulevya}mmoja,sijui kama atapona! amekuwa akitumia madawa ya kulevya kwa kujidunga sindano kwa muda mrefu sana,imefikia hatua mishipa yote ktk mwili hususani mikononi na miguuni imepotea hata akiipiga vipi ili isimame ajidunge sindano haionekani!Sasa akapata maarifa mengine ya kuwa anasimamisha mashine yake[uume wake]anaufunga kamba unasimama ipasavyo misuli yote inaonekana ndipo anajipiga sindano yenye madawa,sasa leo sijui amekosea mshipa!nimempita watu wanamshangaa hajitambui huku bomba la sindano linaning'ing'ia kwenye uume.KWELI NIMEAMINI ULE MSEMO USEMAO WEWE UNASEMA CHA NINI WENGINE WANAWAZA WATAKIPATA LINI,:redfaces:
 
Back
Top Bottom