Jamani mapenzi ndio nini?

nataka kujua

Member
May 1, 2014
31
5
kwanza ni mushukuru muumba kwa yote Mimi nikijana umri unatakiwa sasa niwe na mchumba au hata mke kwani nimekamlisha sehemu kubwa ya malengo yangu, tatizo nikwamba cna moyo wakupenda hata kidogo kiukweli baada yakupokonywa mpenzi pindi tuna tafuta naye ajira nilijikuta nikiwatendea dada zangu ukatili sana nimeshindwa kupenda na umri ndo huu nakaribia 30

Majuzi tu dada mmoja kajikaza nakuni telll ananipenda bac kwakuwa niponipo nilianza toka nae ndani ya mwez tuuu nilicho mfanyia bac tuu ila nisha tuubu kilicho niuma zaidi jana nilimfuata kwake nimuombe
be tuendelee alinijibu yeye ndie alinipenda namickuwa mKini hivyo amejitokeza mwanaume mwenye mapenzi wana JF nisaidieni nifanye nini niweze kuwa na mapenzi ya kweli nimechoka kuwakatili hawa dada zetu
 
Kwanza kabisa mwambie MUNGU aina ya mwanamke unaye mtaka. katika hili uwe makini. Pili nenda kanisani wiki kumi mfululizo na hakika MUNGU ni mwaminifu. utakutana na atakae kufaa maishani mwako. UKIPATA UTUAMBIE.
 
kwanza ni mushukuru muumba kwa yote Mimi nikijana umri unatakiwa sasa niwe na mchumba au hata mke kwani nimekamlisha sehemu kubwa ya malengo yangu, tatizo nikwamba cna moyo wakupenda hata kidogo kiukweli baada yakupokonywa mpenzi pindi tuna tafuta naye ajira nilijikuta nikiwatendea dada zangu ukatili sana nimeshindwa kupenda na umri ndo huu nakaribia 30 majuzi tuuu dada mmja kajikaza nakuni telll ananipenda bac kwakuwa niponipo nilianza toka nae ndani ya mwez tuuu nilicho mfanyia bac tuu ila nisha tuubu kilicho niuma zaidi jana nilimfuata kwake nimuo
be tuendelee alinijibu yeye ndie alinipenda namickuwa mKini hivyo amejitokeza mwanaume mwenye mapenzi wana jm nisaidieni nifanye nini niweze kuwa na mapenzi ya kweli nimechoka kuwakatili hawa dada zetu

Kama umeshindwa kukaa na wamama vizuri jiandae kuwa Cameron au Obama!
 
Back
Top Bottom