Jamani kweny msongamano wa magari kuna mambo!!!

Lol, kwani ile njia yenu ya kutokea mabwepande siku hizi msongamano umekwisha?

Nikiona msongamano umezidi naweka hii...


BTW: Hebu twende pm tukadiskasi msongamano...
 
Last edited by a moderator:
Nikiona msongamano umezidi naweka hii...


BTW: Hebu twende pm tukadiskasi msongamano...


Hahahaaa, wenzio msongamano wanaupenda.
Ingawa mie nahisi penye msongamano pana joto sanaaa
 
Last edited by a moderator:
mh...! lucky you mkuu, ila si umeona mtoa mada kalalamika ameguswa wapi?....mabo ya msongamano hayoo
Hebu cheki pm yako....
Msongamano una faidi na hasara zake Mkuu bombu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom