Hivi ni kweli kwamba binadamu huwa tunatokea kupenda mara moja tuu! katika maisha yetu na hatuwezi penda mwanamke/mwanaume kwa mara ya pili kwa kiwango kilekile?
Tatizo la kutojua maana ya upendo ndo hili!
Hiyo sio kweli kabisa mimi mwenye nilimpenda mwanamke sana lakini baadae tukaachana nimempata mwengine yaani nampenda sana zaidi ya yule wa mwanzo na pesa kwao nishapeleka tena nashukuru kuachana na yule wa mwanzo kwani hamfikii kwa lolote huyu wa sasa
So ths means hapa sasa ndo kwenye penzi la dhatiHiyo sio kweli kabisa mimi mwenye nilimpenda mwanamke sana lakini baadae tukaachana nimempata mwengine yaani nampenda sana zaidi ya yule wa mwanzo na pesa kwao nishapeleka tena nashukuru kuachana na yule wa mwanzo kwani hamfikii kwa lolote huyu wa sasa
serious kongosho?it's once in a life time.
Wengine ni kwamba lazima maisha yendelee.
Hivi ni kweli kwamba binadamu huwa tunatokea kupenda mara moja tuu! katika maisha yetu na hatuwezi penda mwanamke/mwanaume kwa mara ya pili kwa kiwango kilekile?