Jamani huyu shemeji kaka nimsemee au nichune tu!

kama vipi we mpige jamaa tafu tu, mpe mzigo kwani nina imani hatarudi tena
 
kama vipi we mpige jamaa tafu tu, mpe mzigo kwani nina imani hatarudi tena
Ernie
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Tue Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power0





Karibu sana jamvini. Naona umeingia kwa kasi ya ajabu. hebu nikumbushe ID yako ya zamani ilikuwa......?:confused2::confused2::confused2:
 
Hommie we ungefanyiwa hivyo ungekuwa wema au ukatili...?

Nimeshaanza kuingiwa na mashaka na uanachama wako. Tutakuita Dodoma kukusaili:confused2::confused2::confused2:

hommie nina hamu nimwone tabibu wako ndo maana....lol si nasikia ulikuka masharti pia ya uanachama:becky::becky:
 
hommie nina hamu nimwone tabibu wako ndo maana....lol si nasikia ulikuka masharti pia ya uanachama:becky::becky:

Inakuwaje unatoa siri za chama bila ridhaa ya sekretarieti ya halmashauri kuu ya mkutano mkuu wa taifa?:becky::becky::becky:
 
infidelito streighto!! okoa ndoa ya rafikiyo..!! fikisha ujumbe kidiplomasia.. mwambie next time 'kaka' akitaka kuja wawe wanakuja wote!!inawenza punguza khatari!
 
wadau mambo yenu?
mwenzenu niko kikazi kwenye mji fulani,ni miezi 9 sasa.naishi peke yangu. nimetokea kuwa karibu na dada fulani ambae ofisi zetu zipo karibu.mwanzoni tulikuwa tunakuwa pamoja lunch time. baadae ushost ukanoga hadi majumbani kwetu na ulinoga zaidi alipogundua mimi na mumewe ni kabila moja tukawa mawifi tena.na mume mtu nae akawa kaka.
basi huyu mkaka tangu anijue imekuwa shida akisafiri analeta mizawadi kibao kwangu haswa vyakula na vinywaji na shost anajua na huwa ananiambia kakako anakupenda kweli hawezi kupita siku bila kukutaja jamani...yeye anamwamini sana mumewe na anasema tangu amfahamu hajawi hata kuhisi kama anamwanamke...eti hata kutongoza hajui...........eti nisali sana nipate mume mwema kama wake...huyu shost ni rafiki mzuri tu kwangu na naamini ananipenda.............ila ukweli ni kwamba huyu mumewe tangu siku ya kwanza ameniona ameoyesha kunitamani na kiukweli ananitongoza sana...mara kadhaa ameshakuja home kwangu peke yake akimuwaga mkewe anakuja kumsalimia dada kumbe anakuja kutongoza nimemkemea hadi kumtishia kumsemea kwa mkewe hakomi....hivi juzi tu karudi safari toka wapi sijui kaniletea zawadi za ajabu ajabu ambazo zinafanya nimwone hanielewi......nawaza kumwita mkewe nimshtakie ila nahofia hataniamini au ushost utaisha......................WADAU NAOMBA USHAURI!

Sasa miezi 9 yote hiyo hujapata kitu roho inapenda, halafu kaka yako wa hiari amejitolea kukusaidia bado unambania! Kula kitu roho inapenda!
 
Hakikisha una ushahidi usiopingika hata kama ni kwa kumrekodi kwa sauti au video, halafu mwambie rafiki yako, akibisha muonyeshe ushahidi.

Zaidi ya hapo utaonekana mzushi na mchonganishi na unaweza hata kugeuziwa kibao kwamba wewe ndiye unamtaka mume wa mtu.
asante mwaya!
ushahidi ninao wa meseji zake za kubembeleza tena nawaza siku shost akiziona kama huwa hazifuti ndio balaa.ila kakangu genekai anasema kusemelea mambo ya kishule shule
lakini kwa nini wanaume wengine hawana haya hadi shoga wa mkeo jamani!mimi huwa nawaheshimu sana marafiki wa mwanaume wangu!
 
Sasa miezi 9 yote hiyo hujapata kitu roho inapenda, halafu kaka yako wa hiari amejitolea kukusaidia bado unambania! Kula kitu roho inapenda!

sina nye.. hizo jamani za kutembea na mume wa shost nikizidiwa nitaingia hata mitaani kutafuta ila si yeye lol!
 
Back
Top Bottom