Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Loly baba yako hakuwa na upendo toka mwanzo na ndio maana hakuweza kukusaidia kwa lolote lile ukiwa mdogo na mpka umekuwa umeweza kujitegemea............mshukuru Mungu uliweza kumsaidia japokuwa kwa shingo upande.............kwa vile ulishaanza maisha kwa kujitegemea sioni sababu ya kuteseka kuwaza kupata msaada kutoka kwake hata kama amepata bingo.......aendele kuwasaidia watoto wake hao wewe endelea kumlilia Mungu atakusaidia katika shughuli unazozifanya na ipo siku utatoka..............ondoa kinyongo chochote ndani mwako ili uweze kufanikiwa