Jamani hii ni nzuri au mbaya??

Naaahh....hiyo kitu sipendi...i wouldnt wanna work in the same place as my woman...inabidi mpeane muda apart angalau uwe unammiss honey wako...hata ukiwa kazini after few hours unampigia simu kumwambia unammiss u can not wait to see her/him later on at home...sasa ukiamka yuko hapo siku nzima uko nae usiku nae uko...unajua usipokua na chance ya kummiss mpenzi wako itafika wakati love itapungua na mtakua mnagombana kila kukicha
 
uko sawa kabisa mtoto,mi hua nashangaa nikiona watu wengine wanafuatana all the time..
 
Last edited by a moderator:
Inategemea, kama kuwa pamoja ni raha na hakuna karaha sawa, lkn kama kunatoa fursa ya ugomvi then si nzuri.

Sidhani kama kuna formulae as a couple, mfanye kitu kinachowafanya wote muwe happy; hata kama ni kuspend as much time as u want pamoja.

Najua couple ambao mume ni videographer na mke ni photographer, they work at home na wakipata kazi za nje they do together n they are happy. They are not only hussie n wife but also best friends, work partners, kifupi they are everything to each other!

Napenda kuspenda as much time with my love as l could, don't get enough of him!
 
thats so nice of you Kaunga..
But to my side at least it works before marriage,can you imagine after marriage mnaamka pamoja kila kitu mnafanya pamoja from morning to evening na usiku pia.,kila mnapokwenda mmeongozana mmh!it sounds awkward to me..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom