Jamani hii ndiyo hali hilsi!!!!!!!

Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????

Huu uoga wako wa kutokumtaja huyo waziri huna tofauti na hao wabunge Wa ccm waliokwepa kutia saini,jamiiforums hamna siri au hauna ushahidi wa kweli.
 
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????

Hata kama MwanzoMugumu si umtaje tu! Wala hatukuoni we taja tu vinginevyo waombe mods waanzishe jukwaa la udaku.
 
Mimi napendekeza wanajamvi tuanze kuzitaja na kusema zilipo mali za hawa pumbafu ili siku itakapofika maana yaja tusipate tabu kuzikamata na kutaifisha.
 
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????

Mtaje kwa jina acha uoga kijana!
 
Wizara yake inashughulika na kuchimba mashimo na uharibifu mwingine wa mazigira + uzulumati wa lasilimali zisizooza za watanzania . Pia ndio yule anatumia pesa nyingi lakini anakusanya kidogo katika kuzalisha ile bidhaa inayoangazia maisha yetu

kuwa na evidenci za kutosha acha ubabahishaji piga picha hiyo nyumba.mwana harakati haogopi kutaja...funguka ndugu mali ya watz
 
Tatizo la hawa jamaa, sio wizi ila ni wizi wa kupitiliza hadi wanashtukiwa!!!!!!!!!!!!
 
Anaitwa WILLIAM MAIGE NGELEJA we don't need any homework here mwizi ni mwizi tu.. Usipindishe maneno
 
Wana JF wakati report za CAG zinaonesha kuliwa kwa fedha za walipa kodi kwa kiwango cha kutisha pengine tunaulizana kwamba hawa jamaaa wanazipeleka wapi pesa zetu??? Waziri mmoja amaejenga nyumba ya kutisha katika moja ya mitaa ya Jiji la Mwanza, Waziri huyu anatoka katika wizara moja nyeti. Tena waziri mwenyewe kijana. Tutafika jamani?????

Akitajwa nani atamfanya nini?

Asijenge naye kijana? Kwani ukiwaagalia wazee mafisadi waliomtagulia na kumonuyesha njia unawaona wakoje?
Si anafuata nyayo tu!!

Hakika hakuna atakaye mfanya lolote ... subiri hiyo jumatatu ya PM Pinda uone hatua atakazo chukua kutokana na ule mziki uliokuw aunaedelea pale bungeni ... Totaly nothing ... Watanzania tuanapenda mazingaubwe ... hebu pitia hapa..
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...magician-na-wale-wanaosubiri-kushangilia.html
 
Hata wewe huna maana,hiyo siri ni ya nn sasa,kama huwezi kutaja majina ya wanyonyaji usituletee tena upuzi wako cause hata wewe ni ya mbuzi sana
 
Kuna na mwingine anayetakiwa kujiuzulu nimeambiwa amejenga bonge la nyumba katika mkoa fulani kanda ya kaskazini kiasi kwamba linaleta mshangao kwa wenyeji.
 
Jamani mbavu zanguuuuuuuu!!!!
jamani huyo wazilri navuta hisia kuwa alisoma ihungo high school (mastering for services) HGE wenye data waseme jamani hivi hilo ndilo alikuwa anatumia au alipofika chuo kikuu alibadili maana mie nilikuwa mdogo form one akiwa f5 na 6 alikuwa katibu wa shule m/kiti wake aliitwa alex bukwimba walikuwa vichwa laikini namshangaa kuwa fisadi ebu mwageni data hasa waliosoma naye f1 au f6
 
we mtaje kuwa ni ngeleja na kesho au leo ukiamka tuwekee picha ya hiyo nyumba yake
kujenga sio hoja atuambie fedha za kujenga kakopa benki gani au kazipatapataje.
 
Back
Top Bottom