jamani hii kweli imetokea Dar??

Uko wapi? mkuu RealMan nikupe japo soda tu.....hii ndio taarifa sio kusumbua watu tu na taarifa za kufichaficha kama Bangi
 
Na wewe mbona unakurupuka!! Jamaa kasema Binti wa mtu mmoja aliyewahi kuwa Waziri! Hivyo hajasema Binti aliyewahi kuwa Waziri - Hivyo rudia kuisoma tena hiyo thread.

Unayekurupuka ni wewe, Sister! Ukisoma tena taratibu utaona kuwa baada ya mimi kutundika hilo angalizo langu muanzisha uzi amekiri kuwa alikuwa amekosea na amerekebisha na kutuomba radhi! Wewe umesoma baada ya yeye kurekebisha. Pole dada, umeingia Choo cha kiume ama umedandia treni kwa mbele! :yo:
 
mnh JF bwana....
mtawafadishije watu na stori hizi za kidaku????
mie nahisi huyo aliyeleta mada ni mwaandishi wa shigongo aliyekuwa anatafuta habari za kuandika ,,,mnh kwa nini mumempa habari kirahisi hivyo? :A S 13::spider::A S 13:
 
Back
Top Bottom