Jamani habari ndio hii, mchana kweupeeee

Najiuliza chriss brown hakurizika na nini hapa yaani kuna wakati cc wanaume ni kama mataahira vile

mi najiuliza inakuwaje hao wanaume wa huko wanaweza kuvumilia kuona vitu kama hivi ilhali nyie wa kwetu mkiona hivi tu mnataka kubaka? ni mentality issue?
she is gorgeous..dressed up to occassion

Unajua hawa wenzetu mambo kama haya ndo utamaduni wao.

article-2020977-0D42526500000578-31_468x532.jpg

HUYU MKUU NDO KACHUKUA NGOMA,
natamani ingekuwa ni mimi niliembeba

Si bora huyu mara 100 anatii kiu yake ana amua kufanya rituals zake hadhrani kuliko wabongo wanao chinja albino gizani, kuua vikongwe, kulawitiana et cetera. BTW nimeipenda.

Rihanna was born Robyn Rihanna Fenty on February 20, 1988, in Saint Michael, Barbados, to Monica Braithwaite, a retired accountant, and Ronald Fenty, a warehouse supervisor for a garment factory.[SUP][14][/SUP] Her mother, a native of Guyana, is Afro-Guyanese, and her father is of Barbadian and Irish descent.[SUP][15][/SUP] The eldest of three siblings, she has two younger brothers from the same two parents, Rorrey and Rajad Fenty.[SUP][16][/SUP] She also has two half-sisters and a half-brother from her father's side, each born by different mothers before Rihanna's father married her mother.[SUP][17][/SUP][SUP][18][/SUP] She grew up listening to reggae music,[SUP][19][/SUP] and began singing at around the age of seven.[SUP][16][/SUP] Her childhood was deeply affected by her father's addiction to crack cocaine, alcohol, and marijuana,[SUP][20][/SUP] and her parents' rocky marriage ended when she was 14, although, he remained a part of her life.[SUP][14][/SUP] During her parents' marriage, she suffered from excruciating headaches that doctors thought she had brain tumour and underwent several CAT scans from the age of 8 till her parents separated.[SUP][21][/SUP] She grew up in a modest three-bed bungalow in Bridgetown and would sell clothes with her dad on a street stall.[SUP][22][/SUP] She attended Charles F. Broome Memorial School, a primary school in Barbados, and then the Combermere School, where she formed a musical trio with two of her classmates.[SUP][16][/SUP] She was an army cadet in a sub-military programme that trained with the military of Barbados and Shontelle was her drill sergeant.[SUP][23][/SUP] Although she initially wanted to graduate high school, she decided to leave school because she was too busy pursuing her musical career.[SUP][24][/SUP]

Je, ahera kukoje jamani, maana kule kila siku ni kweupeee

Tunasema wanawake wakiachwa kabisa watavaa vyandarua, sasa hii si chandarua! Akiachiwa zaidi atatoa hata hivyo vinavyozibaziba abaki weselewesele!

Mtu kwao jamani. Haya mambo ya kujifanya wewe ni matawi ni ujinga fulani hivi.

Unaweza kukuta watu kibao walikuwa wakicheza Mdundiko, Mchiriku, Bogobogo, Hiari ya Moyo, Lizombe nk wakiwa watoto.

Leo hii wakirudi nyumbani kutoka majuu na "you know....." basi kwao wao hivyo vyote ni ushamba.

Watu wengi si ajabu hapo wanamuona ni yuleyule Robin wao wanayemfahamu akiwa mtoto mdogo kabla hajatua USA.

Kilanga, Beyonce alicheza Sindima pia pale Dar.

Nawasubiri watoto wa jirani yangu mmoja hapa Sikonge wakirudi kutoka Majuu nione kama watakula Nsansa kwa wali/Gongo.

Is this BEYONCÈ?

hivi huwa unaangalia football ya ulaya..waafrika wakipiga mabao huwa wanafanyaje? ni ngoma tu mkuu....kadhalika Rihanna anakumbuka asili hapo

Eeeeh! Mungu ichukue roho yangu kabla ya gharika. Dunia inazidi kuchafuka.

Back
Top Bottom