Jamani e tupieni maneno chap chap.Mdee na Lucy waikataa keki yenye rangi ya kifisadi

ni upumbavu, utatengenezaje keki yenye rangi ya chama kwenye birthday yako? ingekuwa birthday ya chama sawa. Kama sherehe yako imekaa kichama kwanini ualike vyama vya upinzani?. Mtu kama huyu usipo kuwa makini anaweza kukupa hata sumu. Bora walivyo mzodoa. Mimi ningeondoka zangu kabisaye .

Mkuu hakutengeneza yeye keki hiyo, ni wapenzi wake Gadna na Jide wa nyumbani Lounge, keki aliyokuwa ameandaa yeye ilikuwa ni ya kawaida na ililiwa bila shaka yoyote (chanzo Michuzi) hata hivyo nadhani lilikuwa ni tukio la kufurahisha na kuchangamsha sherehe na inadhihirisha kwamba demokrasia yetu ni nzuri kwani tunaweza kupingana kwa hoja zenye lengo la kumkomboa mtanzania toka kwenye umaskini bila kupigana mingumi tukutanapo mitaani-ndio maana tunaweza hata kushea intimacy na watu wa upande wa pili (Sugu/Shyrose)
 
Kweli huwezi kukabidhiwa jinamizi na ukalipokea angali unajua linakutambalizaaa
 
Back
Top Bottom