Jaman nisaidien ndugu zanguuu

Johan urasa

New Member
Apr 18, 2011
3
1
Mambo zenu wana jf. I hope mu wazima.

Kuna mdada nilido naye sasa cha kushangaza anasema ana mimba yangu wakati tuli do siku ya 23 ya mzunguko wake na anadai mzunguko wake nikat ya siku 26 mpaka 3o ndio anapata hedh nyingine. Hiyo mimba inakuaje yangu? Mwee nahisi nabebeshwa mzigo usiokua wangu. Naomben wenye uelewa zaid wanisaidie hivi hiyo tarehe 23 yake ni ya kubeba mimba kweli? au ndo nauziwa mbuzi kwenye kunia?

Asanteni wapendwa,
 
Sasa wewe unaogopa mimba halafu unaenda ng'adu? Mzunguko wa cku 26 hadi 30 ndiyo kawaida. Tena hiyo cku ya 23 ndo anatoka dume, kwa kawaida manii zinaishi kuanzia masaa 7 hadi 72 kwenye tumbo la mwanamke. Sasa wewe biga hesabu, hiyo mimba itakua yako dogo kama huyo dada alikua hajakutana na mwanaume mwingine siku mbili kabla. Kawaida unatakiwa usiende ng'adu au kavu siku 7 kabla ya hedi ya mwanamke sasa wewe ukafurahia utamu wa dakika moja, umejiingiza mwenyewe. Lea mimba dogo, usilete ubishi. Ukiendelea kuleta ubishi toto litatoka limefanana na wewe hadi uone aibu!
 
Hiyo mimba ni yako, kama una wasiwasi subiri mtoto azaliwe kuna vipimo vya DNA. Kwa nini mlifanya kavukavu lakini?
 
ndio ukome,kufanya mapenzi bila condom,bora mtoto utalea ukimwi je?:alien::rant:

Saaly umenisemea maneno yangu
asante lakini ujumbe umefika

UKOME KIJANA loo..size yako na utabebesha na magonjwa pia si mimba tu
 
Woi Iruwa Mbe.....ungekuja kutuuliza kabla ya ku-do nae hiyo siku ya 23....tungekushauri vizuri tu....possibility kubwa hiyo mimba ni ya kwako.....naona wataka kuwepa majukumu,hukufungwa kamba kulala nae....timiza wajibu wako,mlee huyo kiumbe hadi mtoto atakapozaliwa nenda kapime DNA....ukikuta si wa kwako itakupa akili ya kutokwenda kavu kavu...
 
Sasa wewe unaogopa mimba halafu unaenda ng'adu? Mzunguko wa cku 26 hadi 30 ndiyo kawaida. Tena hiyo cku ya 23 ndo anatoka dume, kwa kawaida manii zinaishi kuanzia masaa 7 hadi 72 kwenye tumbo la mwanamke. Sasa wewe biga hesabu, hiyo mimba itakua yako dogo kama huyo dada alikua hajakutana na mwanaume mwingine siku mbili kabla. Kawaida unatakiwa usiende ng'adu au kavu siku 7 kabla ya hedi ya mwanamke sasa wewe ukafurahia utamu wa dakika moja, umejiingiza mwenyewe. Lea mimba dogo, usilete ubishi. Ukiendelea kuleta ubishi toto litatoka limefanana na wewe hadi uone aibu!

mkuu kwa maelezo haya, anza kuandaa nepi na kitanda cha mtoto. Zaidi sana, zingatia matunzo ya mama wakati huu wa mimba.
Ulifikiri kula uroda bila kuwajibika ni ujanja..kama ungekuwa umehalalisha huyu dada wala usingekuwa na wasi wasi..bora hata ya mimba, je kama kuna magonjwa mengine??
 
hahahhaaah hapo kaka hakuna pa kukimbia kama nyege zilikubana ukadandia kitu kibovu imekula kwako mzigo wako huo jiandae kuitwa baba.Akizaliwa mtoto kacheki DNA.Hongera kwa kuwa baba mtarajiwa.
 
Msichana huna mpango nae halafu unatembea nae kavu una akili timamu wewe? Hiyo mimba ni yako 100%.
 
Sasa wewe unaogopa mimba halafu unaenda ng'adu? Mzunguko wa cku 26 hadi 30 ndiyo kawaida. Tena hiyo cku ya 23 ndo anatoka dume, kwa kawaida manii zinaishi kuanzia masaa 7 hadi 72 kwenye tumbo la mwanamke. Sasa wewe biga hesabu, hiyo mimba itakua yako dogo kama huyo dada alikua hajakutana na mwanaume mwingine siku mbili kabla. Kawaida unatakiwa usiende ng'adu au kavu siku 7 kabla ya hedi ya mwanamke sasa wewe ukafurahia utamu wa dakika moja, umejiingiza mwenyewe. Lea mimba dogo, usilete ubishi. Ukiendelea kuleta ubishi toto litatoka limefanana na wewe hadi uone aibu!
Jamaa anataka kukwepa majukumu.....
 
mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima wala fedheha yake haitafutika.
 
mmhhh
huyo mbuzi na gunia yote mali yako..
we ulishindwa nini kufungua bomba njee..
mmmhhh utamu ulizidi..
Je vipi kutumia plastic bag
mmhhhhh hamna utamu ..

we huwezi jua mzunguko wa mwanamke
inabadilika kama upepo hiyo mizunguko..
ina react na kitu kidogo sasa
mfani hata uki have sex tarehe zinaweza ku
move forward or backwards...

next time take caution kama hatumii
pills , injection au condom za kike
wewe beba zako na si kwa urembo tumia..
au kama mmekubalia kuigia ndani bila viatu..
hakikisha jasho unalidondosha nje....

usiku mwema..
 
Mmh! Kama ni hivyo basi bora nikamtoe maana mimi sipo tayari kwenda jela

ni mwanafunz huyo si nitafungwa mie!
 
Dunia ya leo ya sayansi na teke linalokujia bado unasingiziwa naww unaogopa? Nenda mkapime DNA haidanganyi hata kama mimba ni ya siku moja! Umeweza kuifahamu internet lakini mimba inakusumbua!!
 
kwanza nikuulise....mlipima?....usikute umemuambukisa mtoto wa watu makonjwa ya sinaa
 
Pole kama ulikuwa hutarajii kuitwa baba kwa sasa but habari ndo hiyo jiandae kutoa matumizi na kuhusu swala la kumtoa hiyo mimba sishauri kwan huyo ni malaika hana kosa na ni dhambi jiulizen mtajibu nini mbele za haki
 
hayo ndio matokeo ya amri ya 6
Unaanzisha balaa lingine
acha mawazo mabaya
usiende kumtoa mimba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom