<br />nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?
Wapi jamani? nisubirini!nakufuata....ningoje.....
<br />Ukifanya kidogo NINI?<br />
Ukweli sio tatizo, inategemea unasemaje huo ukweil
Duh napita tuu hapa
nakufuata....ningoje.....