Jamaa waanzilishi wa FUTUHI wapo wapi???

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wakuu,Wenye taarifa watujuze hapa hivi wale waigizaji maarufu tuliowazoea wa FUTUHI akina Babu Kulikombe wapo wapi? Wengi wao siwaoni. Kuondoka kwa hao jamaa kumepunguza kwa sana mvuto wa FUTUHI.
 
Inawezekana walikosa wafadhili ndo maana wameamua kwenda kwenye kazi yao ya uvuvi.
 
kweli hata mmi ale jamaa wa mwanzo hawaonekaniu tena-sijui wamekwenda wapi-inawezekana ni mambo ya pesa wameshindwana na uongozi
 
Inawezekana walikosa wafadhili ndo maana wameamua kwenda kwenye kazi yao ya uvuvi.
wale jamaa walikuwa wazuri sana, walifukuzwa pale star tv kwa makosa ya kinidhamu ikiwemo kutoroka siku za weekend na kwenda kufanya show mikoani bila kibali cha mwajiri. Binafsi I miss them
 
Back
Top Bottom