Jamaa mmoja anunuwa gari la kifahari kwa pesa za sarafu za kichina

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125
Jamaa mmoja katika mji wa Zhengzhou mkoa wa Henan nchini China alikwenda kununua gari la kifahari kwa kutumia sarafu na noti zenye thamani ndogo ndogo.
Iliwachukua masaa 12 wafanya kazi wa kampuni alikoenda kununua gari kuhesabu pesa hizo.


Jamaa mmoja katika mji wa Zhengzhou mkoa wa Henan nchini China.jpg
pesa za kichina.jpg
pesa za kichina 2.jpg
pesa za kichina 3.jpg
 
Back
Top Bottom