Jamaa kwao wanafirima fiazi

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
Jamaa mmoja toka mkoa fulani alikuwa anachangia mada namna ya kupunguza wingi wa mavuno ya viazi kwa mwaka huo kwa kutafuta walaji zaidi (kuuza)jamaa anachangia: ndugu mwenyekiti tatizo letu ni sisi wenyewe fiazi tunafirima sisi wenyewe lakini hatufiri.ee lugha gongana mkutano ukaisha palepale
 
Back
Top Bottom