Jamaa kacheza vikoba hewa mwaka mzima kupitia mke wake

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
857
1,264
Natumia mu wazimaa wakuu.

Ukistaajabu ya Mussa geuka nyuma uyaone ya firauni.

Ipo hivi, kuna jamaa ana mke na watoto wa5. Sasa mwaka jana kipindi January unaanza mke wake alimshawishi sana wajiunge vikoba maana itakua ni akiba nzuri sana kwao siku wakivunja.

Baada ya jamaa kufkiria akaona poa haina shida, wakaelewana kwamba wataweka buku kumi kumi kila j5 na jmosi.

E bhana e. si majuzi ikawa mwisho wa vikoba jamaa akiwa na furaha anasibiri mke aende alete hela wajue cha kufanya kizaazaa kikaanza.

Anaenda kuchua hela wapi wakati hajawahi kucheza?

Baada ya jamaa kumbana sana akasema bora wamalizane iwe amekula hela ya mahari, hivyo waanze upya.

Wee jamaa katoa pigo la mbwa mla kuku na mayai ni hatari.
 
Kama ni wazo lenu wawili ndani ya nyumba mume na mke kwanini mfikie hatua ya kuwaza kuwekeza akiba kwenye vikundi mitaani?

Kwanini msikubaliane kwa kauli moja kwamba kila siku tuweke sehemu fulani 10K kwa ajili ya kufanya jambo fulani na iwe sehemu ambayo muda wote wewe na mkeo mna access ya kuifikia?
 
Natumia mu wazimaa wakuu.

Ukistaajabu ya Mussa geuka nyuma uyaone ya firauni.

Ipo hivi, kuna jamaa ana mke na watoto wa5. Sasa mwaka jana kipindi January unaanza mke wake alimshawishi sana wajiunge vikoba maana itakua ni akiba nzuri sana kwao siku wakivunja...
Noma sana hii, ndoa zina mengi
 
Kama ni wazo lenu wawili ndani ya nyumba mume na mke kwanini mfikie hatua ya kuwaza kuwekeza akiba kwenye vikundi mitaani?

Kwanini msikubaliane kwa kauli moja kwamba kila siku tuweke sehemu fulani 10K kwa ajili ya kufanya jambo fulani na iwe sehemu ambayo muda wote wewe mume una access ya kuifikia?
Mkuu tatizo kuweka hela ndani ni kazi mkiwa na kipato kidogo
 
Back
Top Bottom