Jamaa achinja Mbwa na kutengeza 'Roast'

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=7dHs4Jbf_RE"]YouTube - Tearful motherhood[/ame]

KENYA MAN SKIN AND ROAST DOG MEAT
gal_110509_01.jpg

On Saturday, Naivasha residents found this middle-aged man skinning one of three dogs he had killed. Unperturbed by their presence, he even went as far as lighting a fire to roast the meat before police arrived. When questioned, he admitted selling meat to residents of the nearby Karagita Estate. Angry and horrified, the crowd could only watch in disgust and some asking what the world had come to. [PHOTOS: ANTONY GITONGA/STANDARD]​
 
There are some genius like this 18 year old boy inspite of the hard life.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=j_dR-nh5tvg"]YouTube - 18 year old African self-taught electronics genius[/ame]

Morris Mbetsa, an 18 year old self-taught inventor with no formal electronics training from the coastal tourist town of Mombasa on the Indian Ocean in Kenya has invented the "Block & Track", a mobile phone-based anti-theft device and vehicle tracking system.

The system, that Mbetsa created by combining technology from projects that he has completed in the past. The real-time system uses a combination of voice, DTMF and SMS text messages over cell-based phone service to carry codes and messages that allow control of some of a vehicles' electrical systems including the ignition to manage vehicle activation and disabling remotely in real time.

Another feature of the system is the capacity to poll the vehicle owner by mobile phone for permission to start when the ignition is turned in real time as well as eavesdrop on conversation in the vehicle.

Mbetsa is now looking for funding to commercially develop his proof of concept and bring it to the market as reported in this video carried on the Kenya Television Network earlier this year.
 
Jamani mbwa si kitoweo tu kama ndezi kule kwetu Iringa ndo yenyewe hiyo.
 
ukiona mwenzio ananyolewa wewe vaa helmet.
tanzania tumejiandaa vipi na baa la kupanda kwa bei ya vyakula??
Hata kama ni hivyo, sidhani kama inahalalisha ulaji wa mbwa...
but again, njaa inatisha and it can lead people to do the unthinkable.
 
Jamani mbwa si kitoweo tu kama ndezi kule kwetu Iringa ndo yenyewe hiyo.

Ukifika Vietnam, nyama ya mbwa huwa ni kwa "high class people", yaani inauzwa bei mbaya zaidi ukilinganisha na nyama zingine.
 
Hata kama ni hivyo, sidhani kama inahalalisha ulaji wa mbwa...
but again, njaa inatisha and it can lead people to do the unthinkable.

Ab-Titchaz kwani kunatatizo gani mtu kula mbwa?. Mbona nchi nyingine wanakula vyakula vyaajabu sana mfano kaa, konokono, jongoo, mbwa, nyoka, mamba, paka, etc nchi kama Ufilipino, Uchina, Vietnam, etc. Wabongo tusijifanye kuchagua vitu vyakula bila kuangalia nutritional value au madhara ya kula vitu hivyo tuache kasumba.
 
Ukifika Vietnam, nyama ya mbwa huwa ni kwa "high class people", yaani inauzwa bei mbaya zaidi ukilinganisha na nyama zingine.

Yeah tell them man, we kama huli usimlaumu wala kumdhihaki anaekula.
 
Jamani mbwa si kitoweo tu kama ndezi kule kwetu Iringa ndo yenyewe hiyo.

Shughuli!..Ndo maana sipendi kula nyama nyama mana huwezi jua kama ni mshikaki wa nyama ya mbwa au paka!..Ila huko China si balaa,vyura na nyoka kitoweo safi. Sijui ni mazoea au nini?
Wewe umeshakula hiyo nyamaya mbwa?Ikoje mkuu?
 
aaaaah basi hufai.....
 
hata sisi tunao kual ngombe wapo wanao shangaa....nina wapenda Mbwa this makes me sad
 
shughuli!..ndo maana sipendi kula nyama nyama mana huwezi jua kama ni mshikaki wa nyama ya mbwa au paka!..ila huko china si balaa,vyura na nyoka kitoweo safi. Sijui ni mazoea au nini?
Wewe umeshakula hiyo nyamaya mbwa?ikoje mkuu?
nyama ni nyama
 
Tatizo hapa sio kula Mbwa, kosa la huyu bwana ni kuwauzia majirani zake nyama bila kuwaambia ni nyama ya mnyama gani, hapo atakua amefanya vibaya kwa kuzi offend imani za watu wengine.

Kama imani yake inamruhusu kula hama shida Ruksa kula mbwa, tusimshangae sana huyu jamaa labda mwenzetu amezoea nyama hiyo, na sii kitu cha kushangaza kwani aina za vyakula tunavyokula vinatofautiana sana. Badala ya kushangaa ni kumuelewa tu huyu mwenzetu ilimradi havunji sheria.
 
Tatizo hapa sio kula Mbwa, kosa la huyu bwana ni kuwauzia majirani zake nyama bila kuwaambia ni nyama ya mnyama gani, hapo atakua amefanya vibaya kwa kuzi offend imani za watu wengine.

Kama imani yake inamsuhusu kula hama shida Ruksa kula mbwa, tusimshangae sana huyu jamaa labda mwenzetu amezoea nyama hiyo, na sii kitu cha kushangaza kwani aina za vyakula tunavyokula vinatofautiana sana. Badala ya kushangaa ni kumuelewa tu huyu mwenzetu ilimradi havunji sheria.

Mkuu October tuko ukurasa mmoja kabisa.

Huyu jamaa alitakiwa kuwaambia wateja wake kwamba alikuwa anawauzia nyama ya mbwa lakini ukiliangali hili suala kwa makini huyu mchinja mbwa kama angewaambia wateja wake ukweli kuna uwezekano mkubwa angekosa wateja.

Sijawahi kuonja nyama ya mbwa wanyalukolo wako hapa jamvini tafadhali watupe data ina ladha gani ?.
 
hey, kama mambo ndiyo hayo basi nyama choma za mitaani hazifai...
 
Back
Top Bottom