Elections 2010 Jakaya; tenda sasa tuone

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF

Katika kuelekea uchaguzi october 2010 JK ameanza kujinadi kuwa atawashughulikia mafisadi na kusafisha chama(hii ni danganya toto)

Hizi ndo zilikuwa siasa zake mwaka 2005 mpaka sasa hajafanya kitu mpaka sasa, aliomba majina ya mafisadi wa madawa ya kulevya wakampa kayaweka kapuni, Wakamsadia kumpatia majina ya mafisadi kutusadia kupeleka mafisadi hewa mahakamani wale mafisadi wenyewe kawaacha.

Vyombo vya Habari vimeanza kumunadi vya IPP eti atawashughulikia mafisadi. Je miaka yote alikuwa wapi?? Watanzania tumechoka na ahadi hewa, watanzania tumeelimika hatudanganyiki

Kama anataka tumuamini kuwa yeye ni mchapakazi namshauri atende sasa ili tumueshimu

Je wanaJF mnasemaje??
 
Atawashughulikia??? why not asiwashughulikie??? He is still the BOSS kama kweli angekua na nia ya kuwashughulikia si angeshawashughulikia??? na kama kachelewa awashughulikie now...

Hana lolote zaidi ya uongo na kutaka kudanganya watu......I think he is among them thus y he is so afraid to take actions.....
 
sasa hivi anatangaza kuwa atawashughulikia huyu Boss hatumii akili hata kidogo magazeti yake yanampamba eti anatumia KASI ZAIDI kushughulikia mafisadi
 
Kosa kubwa litakuwa ni kumchagua tena.

Nimependa your signature

Mjomba najua utapita, watanzania bado wapo usingizini, safari hii kura yangu hutaipata, japo haiwezi kukuzuia lakini nafsi yangu itakuwa na amani kwamba sikushiriki kukusimika"
 
WanaJF

Katika kuelekea uchaguzi october 2010 JK ameanza kujinadi kuwa atawashughulikia mafisadi na kusafisha chama(hii ni danganya toto)

Hizi ndo zilikuwa siasa zake mwaka 2005 mpaka sasa hajafanya kitu mpaka sasa, aliomba majina ya mafisadi wa madawa ya kulevya wakampa kayaweka kapuni, Wakamsadia kumpatia majina ya mafisadi kutusadia kupeleka mafisadi hewa mahakamani wale mafisadi wenyewe kawaacha.

Vyombo vya Habari vimeanza kumunadi vya IPP eti atawashughulikia mafisadi. Je miaka yote alikuwa wapi?? Watanzania tumechoka na ahadi hewa, watanzania tumeelimika hatudanganyiki

Kama anataka tumuamini kuwa yeye ni mchapakazi namshauri atende sasa ili tumueshimu

Je wanaJF mnasemaje??

Kagoda, Melemeta na Tangold.
 
JK kwa danganya toto namkubali mno...na wadanganyika watamsikiliza TZ tambarare.
 
Back
Top Bottom