Jakaya Kikwete's Professional details

Pezzonovante

JF-Expert Member
May 1, 2008
638
41
Current Position(s)
President | United Republic of Tanzania
Tanzania | 2005 - present

Member of Central Committee (CC) | Chama Cha Mapinduzi
Tanzania | 1997 - present

Lieutenant-Colonel | Military
Tanzania | 1991 - present

Member | National Executive Committee
Tanzania | 1982 - present

Previous Position(s)
Minister of Foreign Affairs & International Co-operation |
Tanzania | 1995 - 2005

Elected Member of Parliament | Chalinze District
Tanzania | 1990 - 2005

Minister of Finance |
Tanzania | 1994 - 1995

Minister of Water, Energy & Minerals |
Tanzania | 1990 - 1994

Major | Military
Tanzania | 1984 - 1991

Deputy Minister for Energy and Minerals |
Tanzania | 1988 - 1990

Member of Parliament | Bagamoyo District
Tanzania | 1988 - 1990

Administrator of Head Office | Chama Cha Mapinduzi
Masasi District | 1988 - 1988

Political Instructor and Political Commissar | People's Defence Force
Tanzania | 1984 - 1986

Administrator of Head Office | Chama Cha Mapinduzi
Nachingwea | 1984 - 1986

Administrator of Head Office | Chama Cha Mapinduzi
Tabora Region | 1981 - 1984

Captain | Military
Tanzania | 1979 - 1984

Administrator of the Dar es Salaam Head Office | Chama Cha Mapinduzi
Dar Es Salaam | 1980 - 1981

Lieutenant | Military
Tanzania | 1972 - 1979

Executive Functionary/Officer | Tanganyika Afrcan National Union (TANU)
Tanzania | 1975 - 1976

Educational history
Tertiary
Tanzania Military Academy

Completed 1983

Company Commander's Course
University of Dar es Salaam

Completed 1978

B.A.
Ruvu National Service Camp

Completed 1972

basic military training
Tanzania Military Academy at Monduli

basic officers course
Activities


Memberships
Dar es Salaam University Students Organisation

Vice President
 
Weka basi katika mtiririko mzuri unaoleweka ili watu tuone kama elimu yake inamsaidia kuleta maendeleo ya Taifa au ni familia yake.
 
pangilia basi kwanza ndugu maana ilivokaa hata kusoma kuelewa ni ngumu kidogo.........
 
Hapo kwenye rangi za magamba, usishangae, kwani hata Manyanyau si anajiita Doctor.

Kwahiyo unasema tanzania tuna dr manyaunyau,dr cheni,marehem dr remy ongala,dr love(mtangazaji),dr jakaya kikwete na profesa maji marefu? Hao ndo wasomi wa nchi hii...mmmh haya mi sitii neno hapo
 
Mpuzi tu hyo jk elim yakurushiwa ka dog!Apige shule bana, masters,phd,professor znatafutwa c mchezo!Halaf we ulie post weka systematic CV zake,kasomea nin?au kadiversify?nhaa
 
Kumbe alipandishwa kuwa Luteni-Kanali baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa maji; nilikuwa nadhani kuwa yeye ni Luteni Kanali wa nguvu. Ndiyo maana hata ukanali haupendi kuusikia mbele ya jina lake ukilinganisha na udokta. Askari halisi hujivunia sana medali zao; ndiyo maana Gadaffi alikaa na ukanali wake kwa miaka takriban 45 mpaka mauti yanamkuta; hakubadilika kuwa jenero, fildi masho, dokta au profesa.
 
Mpuzi tu hyo jk elim yakurushiwa ka dog!Apige shule bana, masters,phd,professor znatafutwa c mchezo!Halaf we ulie post weka systematic CV zake,kasomea nin?au kadiversify?nhaa

Acha ushamba wewe! Masters au Phd ni specialization tu, tena kwenye topic moja tu na wala mwenye nayo haimfanyi awe na uwezo mkubwa wa kiuongozi au utawala kuliko mwenye 1st degree. Degree lukuki za Mugabe zimeleta matunda gani? Muone Bingu wa Mutharika na Malawi yake. Hata hapa tuna Che Mponda na phd yake lakini kichwani zero!
 
Hii CV ni nzuri na ina flow inayoeleweka ila tusisahau kuwa uongozi aliuanzia sekondari za Kibaha na Tanga schools
 
Hii CV ni nzuri na ina flow inayoeleweka ila tusisahau kuwa uongozi aliuanzia sekondari za Kibaha na Tanga schools. Waliosoma nae andhibitisha kuwa alikuwa na kipaji cha uongozi na walibashiri kuwa atakuwa kiongozi wa nchi.
 
Hii CV ni nzuri na ina flow inayoeleweka ila tusisahau kuwa uongozi aliuanzia sekondari za Kibaha na Tanga schools. Waliosoma nae andhibitisha kuwa alikuwa na kipaji cha uongozi na walibashiri kuwa  atakuwa kiongozi wa nchi.
 
Sijaona vitu mhimu kama alimaliza B.A alipaswa kufanya masters somewhere then PhD...sasa sijui shule zetu ndio zinatumia masaburi gani tenaaa
 
Ndugu Mbopo, mfuatano wa kuanzia BA, MA kisha PhD, ni MUHIMU katika kuonesha usomi wa mtu na umahiri wake katika eneo lake la elimu. Kulinganisha ukosefu wa ufanisi wa watu wengine, Che Mponda, Mugabe Mutahrika nk, hakuondoi ukengeufu wa utitiri wa PhD za "heshima" za viongozi kama vile JMK! Hizi shahada za heshima zina itifaki yake, hasa kinachoangaliwa ni MCHANGO wa muhusika katika eneo alilopewa hiyo Hororis Causa (Honorary Doctorate).
Nawasilisha!
 
Hii CV ni nzuri na ina flow inayoeleweka ila tusisahau kuwa uongozi aliuanzia sekondari za Kibaha na Tanga schools. Waliosoma nae andhibitisha kuwa alikuwa na kipaji cha uongozi na walibashiri kuwa atakuwa kiongozi wa nchi.
Unadhani uongozi wa shule ndo wa nchi?
 
Back
Top Bottom