Kama iliwezekana kuiingiza nchi kwenye mikataba zaidi ya 17 na uchina ambayo kwa vyovyote ilivyo ni ya maangamizi kwa nchi yetu kwa ajili ya kuokoa shingo ya mtoto huko uchina bunge ni kitu gani?Wanaandaa maisha ya kustaafu but kwa JK hali imezidi mno...
Mtoto wake anashiriki mambo ya hovyo kiasi cha kuyumbisha serikali Leo nimewasikia live wapambe wa kina maswi wakijitapa Maswi hawezi fanywa lolote labda riz asiwepo ndo nangoja niuone ujasiri Wa JK kukubali mgogoro na bunge kwaajili ya mwanae....
Bado tunatabiri PAP&SIMBA TRUST itaangusha CCM....