Jaji kesi ya mnyika (mb) afiwa mtoto

isotope

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
2,392
816
Mh. Jaji Upendo Msuya amefiwa na mwanaye William H. Msuya aliyekuwa nchini Malaysia. Jaji Upendo ndo anayesikiliza kesi ya kupinga ushindi wa John Mnyika uchaguzi wa ubunge jimbo la Ubungo. (Hawa Ng'umbi Vs John Mnyika). Tumuombee asichanganyikiwe asijetoa hukumu ya ndiyo siyo! Source Michuzi!
 
Kuna haja ya kuanza kuwaadhibu hawa vibaraka wa ccm, wauone uchungu wao na familia zao.
 
tetesi za chini ya kapeti ni kuwa hata mnyika anatenguliwa matokeo yake! safari hii bora tuamue moja tu! kuingia msituni!
 
Back
Top Bottom