Jadilini mapenzi ,urafiki na mahusiano

REALITY

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
4,297
1,828
mnachofanya mnajadili athari za kutojua mapenzi na madhara yake kwa ujumla uzinzi na ngono please change mnapotea kuweni positive please
 
Mkuu hapa tumejaribu kuwekana sawa ikashindikana, nilichogundua hapa sio sehemu nzuri kwa kupata msaada wa ushauri, maana mtu akijisifia kwamba ana mahusiano nje ya ndoa ilhali ana mke wake anaonekana shujaa!
 
Utaamini vipi msaada na ushauri wa watu usiowafahamu japo sura achilia mbali majina yao nk ?? Hapa tuna share tu vitu ambavyo ni common na akili binafsi ndio itakuongoza uchukue lipi uache lipi
 
Za kuambiwa unachanganya na zakwako napenda sana neno hili.
 
Nafikiri mkipata muda Wa kujadili urafiki kwanza baada ya muda mkajadili Mahusiano.. cku mkijadili mapenzi mtakuwa mmeelewa where u cam from..itakuwa easier
 
Back
Top Bottom