Jack Masamaki adakwa akitoa rushwa

cheze

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
501
330
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Kirumba bwana Jack Masamaki akutwa na wafuasi wa CHADEMA akitoa rushwa maeneo ya Kigoto-kirumba,na huu ndo mtaa anaotoka mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA bwana Bahati Kahungu.Polisi wameitwa na kumpeleka bwana Masamaki kituo cha police.TAKUKURU wamelala.
 
...mkuu tupe update...
 
Back
Top Bottom