J. Makamba live atn.

EBENEZA MT

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
264
50
Atn. kuna bonanza la vijana linaendelea na mashwali yanaruhusiwa kwa mhe. Makamba.
 
Jamaa miezi ya karibuni amekuwa anaongea lugha inayoeleweka. Kama ataendelea hivi basi future yake iko very bright. Maana kuchangia hoja kuhusiana na hali ya umeme nchini mpaka kupongezwa na upinzani si kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom