Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,803
Habari zenu wakuu ivi ni sahihi kuficha au kupunguza sifa za kielimu ili kuendana na sifa za kazi husika? kama mjuavyo kuna watu tumesoma kuanzia certificate, diploma mpaka degree.
Sasa unakuta kazi inataka certificate wakati una vyeti vyote adi degree kwa mazingira hayo inafaa kuiomba kazi iyo kwa kuweka vyeti vyote au inabidi uweke kimoja icho cha certificate na ukiweka vyote hawawezi kukuondoa kuwa umezidi sifa? lakini pia usipoviweka itawezaje kuviwasilisha ukishaajiliwa msada wa mawazo tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app