ivi mtu ukiwa na gari ni tajiri?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa riba fift pasent unaonekana wa maana...what's so special with gari..dada zetu ndo usiseme..umwambie una kiwanja masak
Na mwingine ana corola limited;utaonekana huna ishu...ni mtazamo wangu wa muda mrefu..
 
Poti Gari ndio albadili ya mabinti, bila ya kuwa na mkweche wale watu watakupa shida labda uwe muhongaji mzuri., wewe jenga nyumba zako hata 100 lakini mwenye gari hapa mujini ndio mpango mzima.
 
Dhana yangu na wengine kama mimi ni kwamba ukiwa na gari ni lazima uwe na pesa. Nikimaanisha kwamba siyo rahisi kumiliki gari na ukawa huna kipato kabisa- na hasa kwa ajili ya kui-run hiyo gari- vinginevyo itakushinda. Lakini, inawezekana kabisa mtu kumiliki nyumba na asiwe na pesa-hata kama ameijengea mwenyewe kwa pesa yake. Sababu ni kwamba, Nyumba haihitaji day to day (i.e. daily) running/maintenance expenses. Tofauti hizi labda ndiyo zinawafanya nyie wenye magari mdondokewe na ngekewa ya kupendwa na warembo wa "MUJINI". Lakini pia kwenye jamii ya kiafrika, Gari ni -STATUS SYMBOL.
 
Kwa maisha ya bongo ukiwa na gari lazima uwe na kipato cha kueleweka. Lakini kawaida gari haimaanishi kuwa ni tajiri, gari ni sawa na baiskeli inakuwezesha kukutoa from A to B period.

Lakini huu ushamba wa kushobokea gari ni kwasababu unatembea na gari watu wanakuona na gari lakini sio nyumba.
 
Utajiri ni nyumba mtu asikudanganye!mwenye nyumba 1 dar ana utajiri kuliko ma bus ya scandnavia 100.leo yale ma bus yapo wapi lakini plot na ofisi zipo
 
Utajiri ni nyumba mtu asikudanganye!mwenye nyumba 1 dar ana utajiri kuliko ma bus ya scandnavia 100.leo yale ma bus yapo wapi lakini plot na ofisi zipo
wewe endelea kujidanganya tu, halafu tongoza demu mkali umletee hadithi na tamthilia hizi za kusadikika halafu utayapata majibu yake. watu mtaani wanachukuwa madada za watu kwa mashangingi STJ na STK halafu wewe bado hujui kama gari ndio albadili ya Kijapan kwa mabinti? nyinyi ndio wale wale eti mapenzi siyo pesa!!.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom