Ivi dar live(mbagala) ni ya nan?

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
220
41
Unajua huu ukumbi umekua maarufu sana siku za hvi karibu afu nasikia ni wakawaida mno huu umaarufu umetokana na nn?
 
ule ukumbi ungekuwa uzunguni ni kweli wa wakawaida ile kule ulipo si ukumbi wa kawaida!!!sina uhakika ila nasikia ni ukumbi wa Eric na unapata sana umaarufu kwakuwa kila weekend kuna burudani kali ya wasanii anawawekea na pia magazeti yake yanaipaisha sana ile sehemu kwa habari!big up eric kama kweli ndo mmiliki kwani watu wa kule walisahaulika sana kwa starehe wakawa wanajazana sana jumapili beach ya bure coco atleast umepunguza tatizo....
 
Bora hata jamaa amewasaidia sana wa2 wa huko walikua wana2mia sana gharama kuja twn
 
Nilisikia mmiliki wa ukumbi ni ErickvShigongo lakini baadae kuna mtu akasema Shigongo ni kama picha lakini kuna mtoto wa kigogo wa Ikulu ndiye mmiliki.
 
ule ukumbi ungekuwa uzunguni ni kweli wa wakawaida ile kule ulipo si ukumbi wa kawaida!!!sina uhakika ila nasikia ni ukumbi wa Eric na unapata sana umaarufu kwakuwa kila weekend kuna burudani kali ya wasanii anawawekea na pia magazeti yake yanaipaisha sana ile sehemu kwa habari!big up eric kama kweli ndo mmiliki kwani watu wa kule walisahaulika sana kwa starehe wakawa wanajazana sana jumapili beach ya bure coco atleast umepunguza tatizo....

Haya mawazo yako yananitatanisha kidogo! Kwani Leaders club ina nini? Na iko wapi? Na mbona ni maarufu?
 
hao wakina eric ni kivuli 2,nyuma wapo wakuu.na pale hakuna parking wanatumia hifadhi ya barabara kama parking!kitu ambacho ni hatari polisi wasingekiruhusu, kamwe! Na tatizo la pale wanakwambia parking at ur own risk!na huo ukumbi ulianza kujengwa miaka mingi sana ila kiwanja hicho kilikuwa na mgogoro kuwa ni eneo la bomba la tazama linapopita ndio pakasimamishwa!hata hiyo zakhem pub ilitakiwa kubomolewa ila kama unavyojua kigogo akiingia hakuna sheria tena!ndio wakaendelea na ujenzi,na eneo lile ndio bomba la mafuta kwenda zambia(tazama)linapita,yacje yakawa kama yale ya kenya!
 
Haya mawazo yako yananitatanisha kidogo! Kwani Leaders club ina nini? Na iko wapi? Na mbona ni maarufu?
kinondoni unataka kuifananisha na mbagala!!!unajua leaders iko maeneo gani au unaisoma tu magazetini????leaders iko kinondoni kitovuni mwa ada estate yaani hapo utakuta nyumba za vigogo wa serikali yako,ukichungulia huku ubalozi wa france,mbele kidogo ulipokuwa ubalozi wa marekani zamani, ukikata corner bahari ya hindi!kiufupi ukiwa leaders kipupwe cha bahari unajenga nacho urafiki!!!!!!haya toa maeneo yanayopakana na maeneo ya dar live!!!kama hujaanza kusema sijui kwa mbele shamba la nazi la mzee kauzeni,kwa nyuma sijui fundi seremala cheusi dawa ukikata kona magofu ya mabomu...we!!!!iache leaders kabisa!
 
matangazo ya kila siku kwenye magazeti na redio ndiyo yanayo uweka huo ukumbi juu,si zaidi ya hapo
 
Bora hata jamaa amewasaidia sana wa2 wa huko walikua wana2mia sana gharama kuja twn

HII NDO SHIDA TULIYONAYO WENGI...... Eti mtu anadhani uwanja wa taifa upo temeke kwa ajili ya watu wanaoishi huko......... Ni ujinga mtupu kudhani hivyo............. Hivi Leaders Club kuna nini cha maana na umaarufu wake wote ule?? AU KOKO bichi kuna nini cha kuhalalisha uwepo wake pale??? Sasa hao wanaotoka kawe na Tegeta kwenda DarLIVE hawatumii gharama............ MAWAZO MGANDO ...... ALAFU WEWE UTAKUWA UNAKAA KWENYE NYUMBA YA KUPANGA HUKO UNAKOKUONA KWA MAANA SANAAAA.... AU UNAISHI KWA DADA YAKO ALIYEOLEWA NA MUME ALIYEPANGA
 
kinondoni unataka kuifananisha na mbagala!!!unajua leaders iko maeneo gani au unaisoma tu magazetini????leaders iko kinondoni kitovuni mwa ada estate yaani hapo utakuta nyumba za vigogo wa serikali yako,ukichungulia huku ubalozi wa france,mbele kidogo ulipokuwa ubalozi wa marekani zamani, ukikata corner bahari ya hindi!kiufupi ukiwa leaders kipupwe cha bahari unajenga nacho urafiki!!!!!!haya toa maeneo yanayopakana na maeneo ya dar live!!!kama hujaanza kusema sijui kwa mbele shamba la nazi la mzee kauzeni,kwa nyuma sijui fundi seremala cheusi dawa ukikata kona magofu ya mabomu...we!!!!iache leaders kabisa!

Duh, hayo majumba ya mabalozi yanakusaidia nini unapoenda leaders? Your comments are very biased for someone who has never been to Dar Live. That joint is better than Leaders, period!
 
hujui unachoongea!!!!bei ya kiwanja kinondoni na mbagala utafananisha?hapo ndo utajua kwanini mbwiga mwenzako nilimuambia kama leaders ipo uzunguni!mimi na ujanja wangu nichome mafuta nikale bata mbagala nna wazimu....najibu swali lako magorofa ya leaders yananisaidia nini nikienda???peace of mind kwakuwa najua kuna security vichochoro vimedhibitiwa!
 
HII NDO SHIDA TULIYONAYO WENGI...... Eti mtu anadhani uwanja wa taifa upo temeke kwa ajili ya watu wanaoishi huko......... Ni ujinga mtupu kudhani hivyo............. Hivi Leaders Club kuna nini cha maana na umaarufu wake wote ule?? AU KOKO bichi kuna nini cha kuhalalisha uwepo wake pale??? Sasa hao wanaotoka kawe na Tegeta kwenda DarLIVE hawatumii gharama............ MAWAZO MGANDO ...... ALAFU WEWE UTAKUWA UNAKAA KWENYE NYUMBA YA KUPANGA HUKO UNAKOKUONA KWA MAANA SANAAAA.... AU UNAISHI KWA DADA YAKO ALIYEOLEWA NA MUME ALIYEPANGA

mzee usipanic!relax..........ila msifanye mambo mlikuwa mnafanya uwanja wa taifa ya kujisaidia katika masink!!!!
 
Atleast unawapunguzia gharama watu wa huko mbagala, temeke, tandika, kongowe, kimbiji, vikindu, nao wajisikia wako duniani.
 
hujui unachoongea!!!!bei ya kiwanja kinondoni na mbagala utafananisha?hapo ndo utajua kwanini mbwiga mwenzako nilimuambia kama leaders ipo uzunguni!mimi na ujanja wangu nichome mafuta nikale bata mbagala nna wazimu....najibu swali lako magorofa ya leaders yananisaidia nini nikienda???peace of mind kwakuwa najua kuna security vichochoro vimedhibitiwa!
Siwezi ishi nyumba ya makuti kwa sababu ya ghorofa la jirani. Hivi unadhani hiyo leaders hao wa mbagala hawaendi..??? KUKAA KARIBU NA MAHAKAMA SI KUJUWA SHERIA
 
Back
Top Bottom