Itv, eatv, star tv

bamwaiche

Member
Aug 30, 2011
50
8
Wdau tv nilizozileje hadi leo naona kwangu zipo on test tangu matumizi ya digitali yameanza, na chaneli zote zingine ambazo awali kwa king'amuzi cha star times zilikuwa zinaoneonekana hizo zinaendelea kupatiakana kama kawiada. nilipowapigia hawa wahusika wa king'amuzi hiki wanaambai nielekeze antena kisarawe. Sasa nikawauliza kama ni kuelekeza antena kisarawe mbona caeli zingine zinaonekana?
Ukwali hii ni hatari, kwani kama walikuwa hawajajiandaa wangeacha kwanza kuliko kutukosesha habari tunazozipenda. Na wengine wameanza kutangaza king'amuzi kingine cha continental. sijui twaenda wapi tanzania
 
wewe si zinaonekana au?kuandikwa on test hujui maana yake?ni kuwa mwanzoni hazikuwepo startimes me nimenunua king'amuzi miezi 4 iliyopita hizo hazikuwepo so now bado zipo kwenye hiyo wanayoita test au uangalizi
 
Back
Top Bottom