Itakuwa ni aibu na fedheha kwa wanasoka kama Arsenal hii itachukua ubingwa EPL

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,871
6,513
Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani.

Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa mahali panapostahili siku zote( Nafasi ya 3 ,4 au ya 5)

Arsenal hii siyo ya kuchukua ubingwa na kama wakichukuwa itakuwa ni aibu sana kwa dunia ya mpira.
 
Back
Top Bottom