IslamTZ
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 309
- 182
ni wazi kuwa viongozi na wanachama wa chadema wanaombea nchi isitawalike, uchumi uharibike, mambo yaende vibaya ili waseme ccm wameshindwa na baadae waje ku claim ushujaa. This is wrong and very unacceptable. Hivi hakuna ethics katika siasa?
Chadema wajue kuwa wakishajiisha hilo likafanikiwa na wao hawatatawala nchi hii. Wote tunapenda mabadiliko lakini this is not the way to go. Tuwape nafasi ccm watawale washindwe kwa halali ili 2015 slaa awe raisi. Tusi instigate fujo.
Nanyi viongozi wa dini acheni kujiingiza katika siasa mnatugawanya waumini.
Yakiharibika isisemwe kuwa hatukuonya tunaoona mbali.