Issa Michuzi na Fred Maro

supermario

Member
Dec 2, 2011
48
15
Naomba kuuliza wana jf.

Nani kati ya hawa ndio mpiga picha wa raisi na shughuli za ikulu? Maana kila aendapo raisi michuzi yupo wakati katika picha zote linatokea jina la bwana Fred Maro. Au bwana michuzi yeye anagharamia safari yake mwenyewe?

Asanteni.
 
Mwajiliwa wa Ikulu ni Fred Maro, Michuzi ni kishoka, kwani hujui ukishoka sasa hivi ni ajira rasmi mpaka Ikulu?

Ikulu wakishajaa wahuni matokeo yake ndio haya muhuni yeyote yule anaweza kuleta ukishoka wake na akawa kwenye Delegation ya Rais, usitishwe tena na neno Ikulu hadhi ya Taasisi ya Urais Tanzania imeshuka sana na ndio sababu kila mwehu sasa hivi anadhani anweza kuwa Rais.
Pasco atakujuza zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu matola unaonekana unamaisha magumu sana kutokana na roho mbaya yako, unatoka mapovu kwa wivu unaoitwa wa kike, una uhakika michuzi ni kishoka? Kati ya ww unayesema usiyoyajua na michuzi aliye kazini ktk ofisi ya rais mwehu nani? katafiti ujue ukweli then tafuta namna ingine ya kuwatukana wenzako waliokupita maarifa....
 
Wewe bwegge kupiga picha kuna maarifa gani? ni nani aliyekudanganya Michuzi ni muajiliwa wa Ofisi ya Rais?
 
Asante kaka matola,nachoweza kukwambia mimi siyo ----- na nina afadhali kuliko ww,japo ktk kujua taratibu za uajiri serikalini na kanuni za utumishi wa umma.michuzi hajitumi kusafiri na rais,pale yupo kazini kwa mujibu wa sheria.kupiga picha ni utaalamu pia usidharau usichokijua.ungekuwa mstaarabu licha ya kutompenda rais ungetumia lugha ya kistaarabu kukosoa kama ulidhan kuna tatizo.
 
yes michuzi ni muajiriwa wa ikulu, kuna documentary fulani ya jk, sijui kama imetoka, michuzi alikuwa ndiyo kama mshauri mkuu, sasa amelipwa fadhila tokana na kazi alifanya huko nyuma sasa amevutwa ikulu.
 
Mwajiliwa wa Ikulu ni Fred Maro, Michuzi ni kishoka, kwani hujui ukishoka sasa hivi ni ajira rasmi mpaka Ikulu?

Ikulu wakishajaa wahuni matokeo yake ndio haya muhuni yeyote yule anaweza kuleta ukishoka wake na akawa kwenye Delegation ya Rais, usitishwe tena na neno Ikulu hadhi ya Taasisi ya Urais Tanzania imeshuka sana na ndio sababu kila mwehu sasa hivi anadhani anweza kuwa Rais.
Pasco atakujuza zaidi.

thats true.na sio ikulu tu hata hadhi ya bunge imeshuka sana na sasa hata wendawazimu wanafikiria kugombea ubunge,alimuradi wanaweza kubwabwaja!!!!miaka mitatu mingi jamani na sijui coz tunatamani iishe basi ndo inaenda taratiiiiibuuu
 
Last edited by a moderator:
Pasco nakumbuka alitujuza hapa jamvini kuwa Michuzi ni mpiga picha msaidizi wa JK
ndio maana kila angel yuko nae. maro sijui watakujuza wengine
 
Hivi michuzi alishaondoka Daily News ama bado yuko huko?
 
wadau ningependa kujua kama Muhidini Issa Michuzi na Fred Maro kama wote majukumu yao ya kazi yanafanana, yaani wote ni wapiga picha wa rais. hii imekuwa ikinitatiza kiasi
 
Wewe bwegge kupiga picha kuna maarifa gani? ni nani aliyekudanganya Michuzi ni muajiliwa wa Ofisi ya Rais?

Duu we jamaa utakufa siku si zako!.. relax mzee huwez kuyakunjia ndita maisha ya mtu kiasi hicho.
 
Bongo kila kitu kinawezekana na kwa taarifa yako MICHUZI ndio mkuu mpya wa mkoa MARA. Subiri sherehe ya Muungano ipite utashangaa
 
Mwajiliwa wa Ikulu ni Fred Maro, Michuzi ni kishoka, kwani hujui ukishoka sasa hivi ni ajira rasmi mpaka Ikulu?

Ikulu wakishajaa wahuni matokeo yake ndio haya muhuni yeyote yule anaweza kuleta ukishoka wake na akawa kwenye Delegation ya Rais, usitishwe tena na neno Ikulu hadhi ya Taasisi ya Urais Tanzania imeshuka sana na ndio sababu kila mwehu sasa hivi anadhani anweza kuwa Rais.
Pasco atakujuza zaidi.

............ungemalixa kunyya kwanza ndo uandike !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom