Israelstine or Palesrael: Is coexistence possible?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
IT strikes me there is something pitiful about the two-state tango in which both Palestine and Israel are caught in an existential embrace from which neither country can extricate or unravel itself.

Could a tripartite or federal solution work in Israel? Can all three of the world’s religions be accommodated? What exactly would a three-state solution entail?

This is what Muhammar Gaddafi suggested when he was in NY while interviewed by Larry King that Israel and Palestine should be one and called them Israelstine State.
 
Kama unakumbuka speech ya Obama kwamba Zion State itakuwa isolate zaidi kama haitoweza kutatua matatizo na jirani zake haswa ktk kipindi hichi cha Arab Spring.

Obama alipotoa hii speech alilaumiwa sana na Wayahudi kwa kuwatosa haswa pale Netanyahu alipoanza kubishana na Obama. Lakini hapa tunaona mshindi mwingine ni Obama; kwa sababu maneno aliyoyasema ni ya kweli.

Zion State imegundua kwamba Arab Spring imeleta chuki zaidi kwao, haswa pale walipoona Egypt walipofanya maandamano ya kupinga mauaji ya Wanajeshi wao, also pia mateso ya Wapelestina. Uhasama mwingine waliuona pale walipoona Turkey inazidi kuwa na siasa kali dhidi ya Israel.

Zion State wamegundua maneno ya Obama; kwamba wameanza kuwa Isolate in Mid East.

Hii yote waliyofanya kuhusu kubadilisha mwanajeshi ni Strategic plan ya kurudisha uhusiano mzuri na jirani zake na Arab States kama vile Egypt, Turkey, nk.

Goal yao si mwanajeshi kurudishwa; bali ni Urafiki na Arab States.

Natanyahu kagundua kwamba sera zake za ubabe zimepitwa na wakati. Kaamua kumsikiliza Obama.
 
Hivi unajua Palestine na Israel ndio Saul and the Philistine, David and Goliath etc? walianza zamani hao, Gadafi hange weza.
 
They can't. Gaddafi himself failed to coexist within HIS PEOPLE who LOVED HIM. They bullet his head.
 
Only Allah Knows best what is next for the oppressed palestians over centuries..

Is only who protect weak from oppression

Israel as of now haina tofauti na Pharaoh State those days (killing the weak and childrens)

Pharaoh ameanguka israel itaanguka vibaya
 
Every moment you live is a gift, that's why it is called "the present"
zhangwei1.jpg

zhangwei2.jpg

zhangwei3.jpg
 
To me, solution rahisi ya mgogoro huu ni kuundwa kwa mataifa matatu, jirani, yatakayoishi kwa amani;

1. Taifa la Jordan.

Ukizingatia kuwa zaidi ya 50% ya wananchi wa Jordan pia wanajitambulisha kuwa ni Wapalestina, akiwepo Malkia wa sasa wa Jordan, so hakuna ulazima wa kuanzisha taifa lingine la kipalestina bali kuunda taifa kubwa la Wapalestina kwa kuipanua Jordan ya sasa itakalounganisha pia eneo la West Bank, mji wake mkuu ukiendelea kuwa Amaan kama ilivyokuwa kabla ya 1967.

2. Taifa la Gaza/Palestina(jina lolote watakalolipenda) lenye makao makuu yake kwenye mji wa Gaza, au kuwe na taifa kubwa la Misri linalounganisha eneo la Gaza lenye makao makuu yake Cairo.

3. Taifa la Israel kwenye maeneo yaliyobaki, taifa hili litaunganisha Wayahudi na Waarabu wanaokaa kwenye maeneo hayo kwa sasa, hii itakubalika kwa sababu waarabu wengi kwenye maeneo haya wanapenda zaidi kuwa kwenye taifa la Israel kuliko kuwa Palestina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom