Israel yaiomba US msaada wa dharura wa $10 billion kwa ajili ya vita

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Aisee nimesoma hii habari, polepole nikaja na jawabu Russia is very powerful aisee

Lakini nikaja na jibu lingine kuwa US is Mighty.

Kaaaah.

Kule Congress bado kuna mvutano, Bw Jordan naye ametoswa , Millitary aid imachelewa kwenda Ukraine.

Ziada ni kuwa Biden amepanga kuunganisha ombi la 100B kwa ajili ya Israel, Ukraine, Ukuta wa Mexico na Taiwan. Wanacongress hawataki wanataka kuitenganisha, na wanasema msaada wa ukraine hautakuwa 24B kwa miez mitatu tu. So US wamepunguza sana na itakuwa ndo Package ya mwisho mpaka mwaka upite kama Congress watawafikiria upya.

Pray for Yukreinia.

Zaidi:
HomeWorld News
Israel asks US for ‘emergency’ $10 billion – NYT
The White House has been working on a package that would combine aid to Israel, Ukraine and Taiwan, the newspaper said

Israel has requested $10 billion in emergency assistance from the US, the New York Times reported on Monday, citing three unnamed officials. The White House and members of Congress are working on a package that would combine military assistance to Israel with aid to Ukraine and Taiwan, as well as funds to fortify the US-Mexico border, the paper said.

Speaking during a visit to Tel Aviv on Sunday, US Senate Majority Leader Chuck Schumer said lawmakers had discussed supplying Israel with new and replacement ammunition, precision-guided bombs and Joint Direct Attack Munition (JDAM) kits, which convert standard munitions into more accurate ones, according to the NYT.

The report did not provide further details on the requested $10 billion combined aid package.
 
ishapata. pesa zote hizo kwa ajili ya kuifuta hamas.
 
Mwisho wa siku wauaji wenyewe na wao watakufa pengine hata kitandani
Siku zote muuaji haishi Maisha mazuri wapi Ariel Sharon? Hii video ya Askari wa Israel akielezea kinachompata Usiku.

Hapo Marekani kila mwaka Askari 6000 wanajiua, toka 9/11 Askari 120,000 wamejiua. So unamuua mwenzako, trauma unayo pata ukirudi nyumbani unajua na wewe. Just imagine unakipiga risasi kitoto kidogo unakimwaga Ubongo then unarudi nyumbani hata mtoto wako unamuangalia vipi

US kwasasa ni nyoka aliyepigwa kichwani anahangaika uhalisia ana hali mbaya sana. Pia usishangae hizo zinaprintiwa chap
Mkuu, huyu ndo mfadhili mkuu wa nchi nyingi zaidi dunia

Ndiye mwenye mashirika mengi yanayotoa misaada kuliko yote duniani

Ndiye mwenye wafanyabiashara wakubwa 10 bora kulikoni nchi nyingine zozote duniani

Ndiye mwenye mtaji mkubwa zaidi kwenye benki ya dunia WB na hata benki ya Africa

Na ndiye mwenye military nyingi zaidi duniani

Na ndiye mwenye bajeti kubwa zaidi ya ulinzi kulikoni nchi zote duniani

Na huyu, ndiye mfadhili mkubwa wa dawa za ARV's

Nani kama USA??
 
Hafanyi bure ... Iraq , Libya , na nchi zote za mashariki ya kati aliingia na kuchukua mafuta ... Reserve ya dhahabu ya Iraq aliuchukua .. anachotoa ni kidogo kulinganisha na anachochukua kwa mabavu
 
US kwasasa ni nyoka aliyepigwa kichwani anahangaika uhalisia ana hali mbaya sana. Pia usishangae hizo zinaprintiwa chap
Hapo ndio unajua USA ni baba lenu hapa Duniani, mchina bado mtoto, USA anapigana Dunia nzima kwa kutoa pesa, na hizo pesa yeye anawekeza tu zitarudishwa tena kwa riba na bado anatugawia misaada sisi ambao ni ombaomba ambao hatupo hata vitani (Africans)

Alafu unamkuta chizi fulani hivi aliyeishia darasa la 3B ambaye hiyo la 3B alikuwa anakaa chini sakafuni darasani kwa kukosa dawati, akielezea USA et wamefirisika dah🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siku zote muuaji haishi Maisha mazuri wapi Ariel Sharon? Hii video ya Askari wa Israel akielezea kinachompata Usiku.

View attachment 2785313

Hapo Marekani kila mwaka Askari 6000 wanajiua, toka 9/11 Askari 120,000 wamejiua. So unamuua mwenzako, trauma unayo pata ukirudi nyumbani unajua na wewe. Just imagine unakipiga risasi kitoto kidogo unakimwaga Ubongo then unarudi nyumbani hata mtoto wako unamuangalia vipi

Hayo ndio matukio ya mnaowaita mujahideen wazee wa bikra 72 kuzimu na ndio maana wengi wao akili hawana
 
Mkuu, huyu ndo mfadhili mkuu wa nchi nyingi zaidi dunia

Ndiye mwenye mashirika mengi yanayotoa misaada kuliko yote duniani

Ndiye mwenye wafanyabiashara wakubwa 10 bora kulikoni nchi nyingine zozote duniani

Ndiye mwenye mtaji mkubwa zaidi kwenye benki ya dunia WB na hata benki ya Africa

Na ndiye mwenye military nyingi zaidi duniani

Na ndiye mwenye bajeti kubwa zaidi ya ulinzi kulikoni nchi zote duniani

Na huyu, ndiye mfadhili mkubwa wa dawa za ARV's
Kwa hiyo akisitisha ARVs za bure tumekwisha mkuu?
 
Hapo ndio unajua USA ni baba lenu hapa Duniani, mchina bado mtoto, USA anapigana Dunia nzima kwa kutoa pesa, na hizo pesa yeye anawekeza tu zitarudishwa tena kwa riba na bado anatugawia misaada sisi ambao ni ombaomba ambao hatupo hata vitani (Africans)

Alafu unamkuta chizi fulani hivi aliyeishia darasa la 3B ambaye hiyo la 3B alikuwa anakaa chini sakafuni darasani kwa kukosa dawati, akielezea USA et wamefirisika dah🤣🤣🤣🤣🤣
La 3E, hilo darasa lina watoto 269.
 
Aisee nimesoma hii habari, polepole nikaja na jawabu Russia is very powerful aisee

Lakini nikaja na jibu lingine kuwa US is Mighty.

Kaaaah.

Kule Congress bado kuna mvutano, Bw Jordan naye ametoswa , Millitary aid imachelewa kwenda Ukraine.

Ziada ni kuwa Biden amepanga kuunganisha ombi la 100B kwa ajili ya Israel, Ukraine, Ukuta wa Mexico na Taiwan. Wanacongress hawataki wanataka kuitenganisha, na wanasema msaada wa ukraine hautakuwa 24B kwa miez mitatu tu. So US wamepunguza sana na itakuwa ndo Package ya mwisho mpaka mwaka upite kama Congress watawafikiria upya.

Pray for Yukreinia.

Zaidi:
HomeWorld News
Israel asks US for ‘emergency’ $10 billion – NYT
The White House has been working on a package that would combine aid to Israel, Ukraine and Taiwan, the newspaper said

Israel has requested $10 billion in emergency assistance from the US, the New York Times reported on Monday, citing three unnamed officials. The White House and members of Congress are working on a package that would combine military assistance to Israel with aid to Ukraine and Taiwan, as well as funds to fortify the US-Mexico border, the paper said.

Speaking during a visit to Tel Aviv on Sunday, US Senate Majority Leader Chuck Schumer said lawmakers had discussed supplying Israel with new and replacement ammunition, precision-guided bombs and Joint Direct Attack Munition (JDAM) kits, which convert standard munitions into more accurate ones, according to the NYT.

The report did not provide further details on the requested $10 billion combined aid package.
Israeli anamalizia resource zote hizo kwenye kakikunda ka wanamgambo
 
Back
Top Bottom