Israel yaahirisha zoezi la kuingiza vikosi Gaza yenye mahandaki sababu hali ya hewa si rafiki

Kuna swala linashughulikiwa wala sio mambo ya hali ya hewa, Hamas safari hii hamna chao, ngoja wamalize tu maswala ya "Reconnaissance" halafu muone hiyo Gaza inavyotwaliwa kiulaini.

Israel has vowed to move heaven and earth to obliterate Hamas terrorist group and no stone will be left unturned until the terror gang is completely decimated.
Hawawez kwenda vitani bila plan mzee. Sigo ghafla.

Wanajua wanayemfuata amejiandaa, kuna traps pia.

Lazima wafikirie njia ya kuepusha maafa pia kqa askari wake
 
Ground offensive sio ya kukurupukia inabidi ujipange kweli kweli. Kumtimbia adui kwake ukampige ni kazi sana
 
IDF wameahirisha kwa muda zoezi walilotaka kuanza wikiendi hii la kuingiza vikosi vyake katika mji wa Gaza kwa kile walichodai ni tatizo la hali ya hewa kitokuwa rafiki hasa kwa vikosi vya Anga.

Pia wamesogeza mbele muda wa kuruhusu wapalestina wanaotaka kuelekea sehemu ya kusini baada ya hapo awali kutoa masaa 24 tu.

IDF wanasema zoezi lijalo linaweza kuchukua miezi na wanatagemea kutakuwa na madhara hata kqa upande wao pia kutikana na na jiografia na mfumo wa kiusalama wa Gaza wenye mahandaki mengi.

Chanzo New York Times.

The offensive had been planned for the weekend but was rescheduled due to adverse weather conditions, the newspaper claims
Israel postpones ground operation in Gaza – NYT

Israel has decided to put off the start of its ground operation against Hamas in Gaza due to adverse weather conditions, the New York Times has claimed. The newspaper is also reporting that the incursion will likely come at quite a price for the Israeli military, given its scope as well as the fortifications built by the militants.

In an article on Saturday the media outlet alleged, citing anonymous Israeli officers, that the “invasion was initially planned for the weekend but was delayed by a few days, at least in part because of weather conditions.” These are so far precluding Israeli pilots and drone operators from providing ground forces with air cover, the NYT explained.

It quoted three unnamed Israeli officers as confirming that the imminent operation would involve tens of thousands of service members, including commando units, and tanks supported by warplanes, helicopter gunships, drones and artillery fired from land and sea. The alleged goal is the complete destruction of Hamas’ leadership, which has controlled the enclave since 2007.
Mbinu za kivita hizo. Wapo kazini.
 
Hamas wanatumia wanawake na watoto kama ngao human shields, na kuficha silaha hospitali hapo walipo wamejificha wamevaa HIJAB na kupaka lipstick na wanja hawathubutu kujitokeza! Israel ikiingia Gaza raia watakufa wengi.
Kuna limoja humu,laitwa Faiza
 
Israel wakitaka waone uggumu wa hii vita waingie Gaza naamini watatamani kurudishaa vikosi vyake nyuma na itakuwa nggumu kwao wenyewe wanafahamu ilo sehemu ambayo hamuijui sana kitakuwa ni kilio kwao na utakuwa mwisho wa uongozi wa Netanyau hatakaa aione ofisi yake tena na kesi zake za rushwa zote zitafunguliwa
 
Hamas walishawajulia vita ya chumba Kwa chumba kama kampeni za CCM Israel haiviwezi.

Israel ikifanya mchezo itajikuta IPO Kama mbu anabaki nje ya chandarua mpaka panakucha.
Wazungu wanasema "mark my words" sijui hata maana yake. Lakini ninachojua ni kwamba mambo magumu zaidi yanawajia hamas.
 
Back
Top Bottom