Ishinde hofu: Somo kwa watiifu na wasikivu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,904
Inasemekana kwamba kabla ya kuingia baharini mto hutetemeka kwa hofu.

Unatazama nyuma kwenye njia ambayo umepitia, kutoka vilele vya milima, barabara ndefu yenye kupindapinda inayovuka misitu, vijiji na maporomoko

Na mbele yake, unaona bahari kubwa sana, kwamba kuingia huko inaonekana hakuna kitu kingine zaidi ya kutoweka milele.

Lakini hakuna njia nyingine. Mto hauwezi kurudi nyuma.

Hakuna mtu anayeweza kurudi nyuma. Kurudi nyuma haiwezekani kuwepo.

Mto unahitaji kuchukua hatari ya kuingia baharini kwa sababu ni hapo tu hofu itatoweka, kwa sababu hapo ndipo mto utajua sio kutoweka ndani ya bahari, bali ni kuwa bahari yenyewe...

Hofu yetu ya kifo ni kabla ya kuingia kifoni..! Ukishakufa hofu hutoweka kwakuwa hutakuwa wewe tena bali kifo chenyewe na wala hutajua kwamba umekufa
Lakini kama vile mto usivyolazimishwa kupanda mlima vivyo hivyo kifo nacho hakilazimishwi
Wote walazimishao kifo na kufa hawana mwisho mwema daima... Acha asili ichukue mkondo wake..!
f181d3cae0af2fef54aaedf8c0d01763.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana kwamba kabla ya kuingia baharini mto hutetemeka kwa hofu.

Unatazama nyuma kwenye njia ambayo umepitia, kutoka vilele vya milima, barabara ndefu yenye kupindapinda inayovuka misitu, vijiji na maporomoko

Na mbele yake, unaona bahari kubwa sana, kwamba kuingia huko inaonekana hakuna kitu kingine zaidi ya kutoweka milele.

Lakini hakuna njia nyingine. Mto hauwezi kurudi nyuma.

Hakuna mtu anayeweza kurudi nyuma. Kurudi nyuma haiwezekani kuwepo.

Mto unahitaji kuchukua hatari ya kuingia baharini kwa sababu ni hapo tu hofu itatoweka, kwa sababu hapo ndipo mto utajua sio kutoweka ndani ya bahari, bali ni kuwa bahari yenyewe...

Hofu yetu ya kifo ni kabla ya kuingia kifoni..! Ukishakufa hofu hutoweka kwakuwa hutakuwa wewe tena bali kifo chenyewe na wala hutajua kwamba umekufa
Lakini kama vile mto usivyolazimishwa kupanda mlima vivyo hivyo kifo nacho hakilazimishwi
Wote walazimishao kifo na kufa hawana mwisho mwema daima... Acha asili ichukue mkondo wake..!View attachment 2846728

Sent using Jamii Forums mobile app
Namuona Ole Soyinka, Camara Raye, Chinua Achebe, Ngugi WaThiong', Tete Michael Kpomassie ndani yako. Niseme nini? Thanks Jr.
 
Inasemekana kwamba kabla ya kuingia baharini mto hutetemeka kwa hofu.

Unatazama nyuma kwenye njia ambayo umepitia, kutoka vilele vya milima, barabara ndefu yenye kupindapinda inayovuka misitu, vijiji na maporomoko

Na mbele yake, unaona bahari kubwa sana, kwamba kuingia huko inaonekana hakuna kitu kingine zaidi ya kutoweka milele.

Lakini hakuna njia nyingine. Mto hauwezi kurudi nyuma.

Hakuna mtu anayeweza kurudi nyuma. Kurudi nyuma haiwezekani kuwepo.

Mto unahitaji kuchukua hatari ya kuingia baharini kwa sababu ni hapo tu hofu itatoweka, kwa sababu hapo ndipo mto utajua sio kutoweka ndani ya bahari, bali ni kuwa bahari yenyewe...

Hofu yetu ya kifo ni kabla ya kuingia kifoni..! Ukishakufa hofu hutoweka kwakuwa hutakuwa wewe tena bali kifo chenyewe na wala hutajua kwamba umekufa
Lakini kama vile mto usivyolazimishwa kupanda mlima vivyo hivyo kifo nacho hakilazimishwi
Wote walazimishao kifo na kufa hawana mwisho mwema daima... Acha asili ichukue mkondo wake..!View attachment 2846728

Sent using Jamii Forums mobile app
FaizaFoxy anakuja kupinga
 
Nimekuja kugundua kuishinda hofu kunafungua mengi sana maishani, hasa hali zetu kiuchumi au kwa wanafunzi masomoni, hii imekaa kiroho zaidi.

Naamini hofu ni njia ya shetani kumrudisha mtu nyuma, kuanzia mwanafunzi anayeogopa mtihani ulioko mbele yake, huyu atashindwa kukumbuka yale yote aliyojisomea siku za nyuma.

Wagonjwa mahospitalini, wenye hofu ya magonjwa yanayowakabili...

Hata kwetu watu wazima, kuwa na hofu inayosababishwa na hali zetu kiuchumi mara nyingi kunatufanya tushindwe kupata solution ya matatizo yetu kwa wakati, hofu inachelewesha, inazubaisha, inadumaza, na mbaya zaidi usipoitibu mapema inakatisha tamaa ya kuishi.

Kujiweka sawa kiroho, hasa kiimani, kumuamini Mungu kwa kila jaribu utakalopitia, kutasaidia kutoipa hofu nafasi kwa kuamini kwamba, muda sio mrefu mambo yako yatabadilika.

Ukifanikiwa kuishinda hofu, basi amini ndani ya muda mfupi usivyotarajia, zile njia zako zilizoonekana kufunga mwanzo, zitafunguka kwani utakuwa umei channel akili yako kwenye solution, badala ya kufikiria maumivu na ukubwa wa tatizo muda mwingi.

- The best way kwangu kuishinda hofu, hasa nikiwa napitia jaribu fulani huwa napenda sana kusikiliza gospel, wimbo unapo stick kwenye akili yangu basi nitaendelea kuuimba tu hata pale nitapokuwa siusikilizi tena, hii kwangu ndio njia nzuri zaidi ya kuhuisha moyo wangu wakati wa hofu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
The best way kwangu kuishinda hofu, hasa nikiwa napitia jaribu fulani huwa napenda sana kusikiliza gospel, wimbo unapo stick kwenye akili yangu basi nitaendelea kuuimba tu hata pale nitapokuwa siusikilizi tena, hii kwangu ndio njia nzuri zaidi ya kuhuisha moyo wangu wakati wa hofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom