Is this criminalisation of islam in Tanzania or humiliation of Christianity?we are brothers

Mkuu, sio kweli kuwa hawajui, huo kusema ni dini ya amani ni unafiki tu wazi, wamechinja mtu geita waziwazi halafu unakuja kuambia watu ni dini ya amani, you must be joking.
Mleta uzi, nadhani pa kuanzia, inatakiwa ujiulize yafuatayo:

  • Kuna uovu wa wazi kabisa kama vile kuchoma makanisa, na kuua kunakofanyika na baadhi ya waislam kwa jina la uislam, Je, waislam ambao hawaamini kuwa hayo yanayofanyika ndiyo uislam wenyewe, wamefanya nini ili kujitenga nao, kama wanaona dini yao inafungamanishwa na matendo maovu?

  • Kuna mafundisho ya chuki na kuhamasisha mauaji ya viongozi wa kikristo, mafundisho hayo yanafanywa na mashekhe kama akina Ilunga, Ponda na wengineo, waislam hao wanaodai kuwa uislam ni dini ya amani, wamefanya nini kuzuia, au hata kujitenga na mafundisho hayo, na kuudhihirishia umma kwa uwazi kabisa kuwa mafundisho hayo ni kinyume cha uislam nao wanayapinga?

  • Viongozi wakuu wa dola, hawakuchaguliwa kwa imani zao bali kwa uwezo na kanuni zilizowekwa na Watanzania wote, lakini ni ukweli usiopingika kuwa ni waislam kwa imani zao. Kwa nini wamekuwa na kigugumizi kusimamia sheria inapotokea ni viongozi wa dini yao ndiyo wanaohamasisha uovu huo?

  • Nadharia inastahili kufuatiwa na vitendo la sivyo nadharia hutupwa, na matendo yatatengeneza nadharia. Nadharia ni kuwa uislam ni dini ya amani lakini matendo yanaonesha kuwa kuna matukio mengi sana ya shari na mauaji duniani kote yanayofanywa na makundi yanayojitambulisha yenyewe kuwa ni makundi ya kiislam. Kwenye mafundisho ya uislam kuna upungufu gani hata nadharia isiwe inaendana na matendo?

  • Hapa kwetu vurugu za mwanzo kabisa zilisohusisha uchomaji wa mabucha ya nguruwe, zilifanyika wakati wa utawala wa Mwinyi, na ndipo kwa mara ya kwanza tulianza kusikia mafundisho ya chuki yanayofanywa na baadhi ya mashekhe wa kiislam dhidi ya ukristo. Wakati wa Mkapa mambo hayo yalififia sana. Sasa yameibuka tena wakati wa Jakaya. Je, kuna uhusiano gani wa vurugu na mafundisho ya chuki ya viongozi wa kiislam na uongozi wa Rais muislam?
 
First of all I am Tanzanian,native Tanzanian,
In addition to that i am A muslim,

Hii hali inayotokea sasa katika nchi yetu inatenza nguvu sana,inaondosha uhalisia wa kidugu na mshikamano uliokawepo miaka mingi sana tokea enzi hizo za wazee wetu..

Nisiwachoshe sana,kikubwa nachojaribu kudadisi ni kwamba katika hali hii inayoendelea kwa sasa nashangazwa sana na jins watu tunavonyoosheana vidole na kutupiana shutuma za moja kwa moja ya kwamba katika hali hii ya taharuki iliyopo basi watu wa iman flan wapo nyuma ya situation yote na wanafurahia machafuko haya yanaendelea.

Niseme wazi ya kwamba,uislam kama uislam philosophia yake ni amani,islam means peace,na inahimiza aman moja kwa moja ulimwengun,nadhan hata wale ambao si waislam wakijaribu kuusoma kwa undani watakubaliana na mimi kuhus mafundisho ya uislam,nikiri wazi ya kwamba wapo watu ambao kwa majina ni waislam lakini kiimani na uumini wa dhati si waislam,nikiwa na maana si watekelezaji na wafualiaji halisi wa mafundisho ya uislam..

Katika hali hiii ya mauaji na kuchomwa kwa nyumba za ibada na changamoto zingine nyingi zinazotokea nchini kwetu je ni haki kuwahusisha waislam na uislam moja kwa moja katika sakata hili kwa kutumia kigezo cha wahusika wa tukio husika?tujaalie baada ya vyombo vya usalama kuchunguza na kuwatia watu kadhaa hatiani kwa makosa ya jinai kama hayo,je ni haki kuja kuwahukumu watu hao kutokana na uislam wao?je,wamefanya hivyo kwa maelekezon ya uislam na mafundisho au wana ajenda zao mioyoni mwao?

Ninachokiona ni kuuvisha uislam jina na sifa mbaya kwa matukio flan flan ya baadhi ya watu waliofanya kwa sababu zao na si kwa sababu za kuuhami uislam na waislam,kwan si kweli kwamba mafundisho yanasema ivo.,

Serikali iliyopo madarakan ni serikali ya kidemokrasia,na si serikali ya kiislam wala ya kikristo,ni serikali ya CCM iliyochaguliwa kidemokrasia,waulizwe wao moja kwa moja kwa hiki kinachoendelea nchin,na wapewe wao lawama kwani ni jukumu lao kulinda haki na usalama wa raia wake,wasilaumiwe waislam na uislam eti kwa kuwa waliofanya hivyo wanashahabiana na uislam,huko ni kujumuisha matendo ya baadhi ya watu waovu na imani yetu moja kwa moja ili hali mafundisho yetu hayatufunzi namna hiyo..

Hatufurahii na kuona undugu wetu na wakristo uliodumu kwa miaka mingi eti uwe unahujumiwa na watu fulani kwa kisa cha dini,hii sio sawa..
Hatufurahii kuona machafuko na uvunjifu wa amani usio na mbele wala nyuma,

We are brothers,na hatuwez kukaa kushabikia HUMILIATION ya dhidi ya ndugu zetu wa upande wa pili..

Waislam na Uislam usionekane ni CRIME na wakristo na ukristo usionekane KUHUJUMIWA na watu wenye malengo yao ili kutupa hali ngumu ya muingiliano tuliorithi kwa wazee wetu,wahusika watafutwe wachukuliwe hatua,na please tusinyoosheane vidole..

I believe we are BROTHERS..

Mkuu heshima mbele.........tuache kuwa na sura mbili...........kuna wakati Mufti Simba alitoa miongozo kuhusu kuvumiliana na kuheshimiana......na ya kwamba tujikite kwenye elimu.......watu tukampigia kelelee weee.....kisa ni Kiongozi wetu kupitia BAKWATA (may be I was wrong).......kuna akina Sheikh Ilunga.....wana mikanda ya video , Audio na wanaendesha mihadhara inayojenga hisia za chuki kila kukicha........watu tuko kimyaaaa.......sasa leo tuwaite wenzetu eti we are brothers......wanatuamin kweli?.......

Jana nimemsikia na kumuangalia kwa makini....Pengo jinsi alivyokuwa akizungumza.....anawaambia waumini wa kikatoliki kuwa wavumilivu, wasamehe na kuombea Taifa amani na umoja.........

Hivi sasa najiuliza......sijawahi kusikia Padri/Mchungaji/Askofu wakitoa matamko yanayofanana na ya akina Sheikh Ilunga........na hivi ikitokea viongozi wa aina hiyo nao wakitoa mihadhara ya design ya akina Ilunga....itakuwaje....

...Binafasi nimesoma shule za misheni na ilhali sio dini yangu....ninafahamu fika kuwa endapo kutakuwepo na aina ya kiongozi kama Ilunga...hawezi ku-survive.....atatupwa nje na atakanwa..........mfano kuna Askofu mmoja alienda kinyume na maadili ya kanisa fulani.....viongozi wa dhehebu lile hawakumchelewesha...wakampiga chini.....

Leo kuna akina Ilunga, Mohamed Said....tunawaangalia tu.....wanamwaga sumu......nyumba za Ibada zinachomwa moto....viongozi wa dini wanapigwa risasi.......viongozi wa dini wanauawa....kama hiyo haitoshi....nyumba nyingine ya Ibada inachomwa moto tena.........halafu baadaye watu eti tunasema tutafute chanzo na ukweli wa yanayotokea....are we serious?

Tulaani matukio haya kwa nguvu zote............Tuwaite kwa majina na tuwakemee wachochezi Ilunga et al.....waache tabia hizo zinazotufikisha katika hali hii.....tusiwafumbie macho......tunapokaa kimya nasi tunaonekana kuunga mkono yanayotokea..........
 
I share your concerns. I see your point and I agree with you.

Religion is a about Individual's relationship with Almighty God- Period. Mtu anayetumia kisingizio cha dini kueneza chuki dhidi ya mwingine, ni mufilisi...na ajenda yake nyingine na wala sio dini.

Wale waliofanya matendo ya kuua,kujeruhi, kupigana, kuchoma nyumba za ibada ni Criminals, and they should be dealt with as such.......Sheria zipo, Vyombo vya Sheria Vipo....vitimize wajibu wake na sheria ichukue mkondo wake.

Tujihadhari kutumbukia kwenye mtego wa kuaminishwa kwamba wanaofanya vitendo vya kuvunja sheria ni watu wa dini fulani....lengo hapo ni wahuni na majangili wachache kutaka kutimiza ajenda yao ya kulisambaratisha taifa letu kwa kivuli cha dini ili wawaingize walio wengi kwenye tafrani isiyokuwa na faida yoyote kwa nchi yetu.

Let us calm down...... Tuviache vyombo vya dola vitimize wajibu wake. Am sure waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wana akili, wana masikio, wamesikia kilio cha wananchi. Tuwaache wafanye kazi yao. Na sisi wananchi tuepuke kuendeleza chuki inayotaka kupandikizwa na hao criminals wachache.

Media, nayo tunaiomba iwe responsible. Wana dhamana pia katika nchi hii, kuripoti mambo irresponsibly kunazidisha chuki. Kuweni wazalendo.
 
Hili lineaeleweka, kwa mfano Rwanda genocide, kama mapadre walihusika katika mauaji, na hao unaosema wanalawiti watoto hawakuwahi kudai kuwa wanafanya hivyo kwa mujibu wa biblia na kwamba kwa kufanya hivyo wanamtumikia mungu.

Kwa upande wa kiislamu, akina Boko haramu, Ilunga, al shababu, UAMSHO nk, wanasema hadharani kuwa wanafanya hivyo kwa mujibu wa Qurani na hivyo wanamtumikia allah, Hujawahi sikia kuwa ukiua kafiri pepo ni yako?, au basi tu mnaamua kusumbua watu kwa maksudi huku ukweli mkiujua?

Kuna Aya moja kwenye Biblia, nimeisahau...nitajitahidi kuikumbuka! Kuna siku nilimsikia Muhubiri mmoja akiitoa hiyo aya nami niliposikia, nikashituka kidogo! Lakini labda tu nitoe mfano sawa na kile ambacho nilikisikia. Narudia, hapa natoa mfano tu wa aya yenyewe! Say, nilisikia inasema :"Wale wote wanaoamini kwamba Yesu alikufa na Kufufuka, basi ni watu waliopotoka!" Niliposikia, nilijiuliza swali moja, Je, inawezekana kweli Biblia iwe na kifungu kama hicho halafu Wakristo wote duniani waendelee kuamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka?! Sio siri, nikapata mashaka na muhubiri huyo! Kwa mara kwanza maishani mwangu, nikaenda kusoma Biblia! Nikakuta ni kweli hicho kifungu kipo! HOWEVER, endapo unaanza kuisoma aya hiyo kwa kuanza na aya za juu...utakuta kilichoaaminishwa kwenye kifungu hicho ni tofauti na kile mbacho Muhubiri yule alitaka kuamin!

Nini maana ya mfano huo!! Na nyinyi mnatakiwa kuwa reasonable na sio kumeza kila kitu na kuhukumu! Hata kama hao uliowataja wanasema wanafanya hayo kwa mujibu wa Quran, basi thibitisha vinginevyo utawachukia bure majirani zako kwa kuwaona maadui!

Ni kweli, Uislamu umezungumza kwa uwazi kabisa kuhusu suala zima la vita! Na kuna Aya kabisa, inaitwa Surat Tawba! Hii sura imezungumzia masuala ya vita.

Tofauti na sura zote kwenye Quran ambazo zinaanza kwa kumtaja Mwenyezi Mungu, Sura ya Tawba haikuanza kwa kumtaja mungu! Haikuanza kwa kumtaja mungu kwa sababu Uislamu unafahamu wazi kwamba Vita si jambo jema la kuanza kulizungumzia kwa kuanza kumtaja Mwenyezi Mungu!! Lakini hata hivyo, Mungu alifahamu kwamba suala la vita haliepukiki kwani uasi ulianza tangu siku za mwanzo pale Ibilisi alipokaidi kumsujudia Nabii Adam mbele yake!

Kilichosisitizwa sana kwenye sura hiyo ni ruhusa ya Waislamu kujihami na kupigana endapo watashambuliwa. Hii ni kwa kuwa, wakati Mtume Muhammad anaanza kueneza neno la Mungu, alikuwa akipata shida sana yeye na wafuasi wake ya kushambuliwa. Mara kwa mara walikuwa wanapigwa na wengine kuuawa kwani zama hizo Arabia kulikua na uovu kupita kiasi! Kutokana na hilo, ndipo Mungu akatoa ruhusa ya wao kujihami na kupigana! Hilo, hata dunia ya leo linafanyika! hakuna jamiii ambayo kwa umoja wao wataanza kuuawa kisha wakakaa kimya! Narudia, jamii kwa umoja wao! Kwamba, leo hii Waislamu tuingie barabarani na mapanga na mashoka kisha tuanze kuwaua Wakristo; katu hamtakubali!

Ruhusa nyingine iliyopo katika kupigania dini ni pale inapoonekana kwamba mnakandamizwa kiasi cha kuwafanya msiabudu! Mathalani, serikali itangaze kufunga misikiti yote na kupiga marufuku kufanya ibada yoyote! hapo, Uislamu unatoa ruhusa ya kuipigani dini! Na am sure, hata kwa Ukristo ndio hivyo hivyo! Leo hii serikali ipige marufuku ibada zote za Kikristo, nchi hii haitakalika tena pamoja na madai yenu kwamba nyie ni watu wa amani!

So, ukiangalia yote hayo, utakuta hao wote wanaosema wanapigana kwa ajili ya Uislamu, NI WAONGO lakini nanyi, kwa makusudi kabisa, mnashindwa kutafuta ukweli! Joseph Kony wa Uganda anapigana vita vya kishenzi kabisa huku akitumia Ukristo; lakini huwezi kusikia Ukristo ukihusishwa na mambo ya Kony! Kuna wakati fulani wapumbavu fulani wakaeneza propaganda kwamba eti Joseph Kony amesilimu na kuwa Muislamu....walifanya hivyo ili waendelee kuupaka tope Uislamu!
 
Mkuu heshima mbele.........tuache kuwa na sura mbili...........kuna wakati Mufti Simba alitoa miongozo kuhusu kuvumiliana na kuheshimiana......na ya kwamba tujikite kwenye elimu.......watu tukampigia kelelee weee.....kisa ni Kiongozi wetu kupitia BAKWATA (may be I was wrong).......kuna akina Sheikh Ilunga.....wana mikanda ya video , Audio na wanaendesha mihadhara inayojenga hisia za chuki kila kukicha........watu tuko kimyaaaa.......sasa leo tuwaite wenzetu eti we are brothers......wanatuamin kweli?.......

Jana nimemsikia na kumuangalia kwa makini....Pengo jinsi alivyokuwa akizungumza.....anawaambia waumini wa kikatoliki kuwa wavumilivu, wasamehe na kuombea Taifa amani na umoja.........

Hivi sasa najiuliza......sijawahi kusikia Padri/Mchungaji/Askofu wakitoa matamko yanayofanana na ya akina Sheikh Ilunga........na hivi ikitokea viongozi wa aina hiyo nao wakitoa mihadhara ya design ya akina Ilunga....itakuwaje....

...Binafasi nimesoma shule za misheni na ilhali sio dini yangu....ninafahamu fika kuwa endapo kutakuwepo na aina ya kiongozi kama Ilunga...hawezi ku-survive.....atatupwa nje na atakanwa..........mfano kuna Askofu mmoja alienda kinyume na maadili ya kanisa fulani.....viongozi wa dhehebu lile hawakumchelewesha...wakampiga chini.....

Leo kuna akina Ilunga, Mohamed Said....tunawaangalia tu.....wanamwaga sumu......nyumba za Ibada zinachomwa moto....viongozi wa dini wanapigwa risasi.......viongozi wa dini wanauawa....kama hiyo haitoshi....nyumba nyingine ya Ibada inachomwa moto tena.........halafu baadaye watu eti tunasema tutafute chanzo na ukweli wa yanayotokea....are we serious?

Tulaani matukio haya kwa nguvu zote............Tuwaite kwa majina na tuwakemee wachochezi Ilunga et al.....waache tabia hizo zinazotufikisha katika hali hii.....tusiwafumbie macho......tunapokaa kimya nasi tunaonekana kuunga mkono yanayotokea..........

Kwan serikali haichukui hatua??
Shekhe farid Rais shein si kamweka ndan kutokana na uchochezi?
Ponda pia si kawekwa ndani kutokana na zile vurugu?
Hakuna anaeshabikia vurugu,huu ndio ukweli wenyewe..
 
Kuwakana UAMSHO ni unafiki mwingine wa wazi kabisa wa waislamu. Farid Hadi ni Shehe/maalimu wa kiislamu, unataka kuaminisha watu kuwa hajui uislamu?, huo umma mkubwa wa wazanzibar unaowafuata hawajui uislamu?, kusema kuwa mtu anaepotosha uislamu katika kiwango cha kusababisha machafuko,waislamu hawawezi kusimama na kumkana na kwamba ni kazi ya serikali ni unafiki mwingine, misikitini mnahubiriana vingine, mkija hadharani mnasema vingine, ni mambo ya kushangaza.

Usijitie upofu, tafuta majibu ya mambo! Kwani hufahamu wanachokipigania UAMSHO?! Wale wanaipigania Zanzibar yao, PERIOD! Farid kuwa Sheikh hakumuondolei haki ya kuipigania ZNZ yake! Lakini kwavile yeye ni Sheikh, ndipo unakuta watu kama nyie mliyezoea kulishwa propaganda ndipo mnaposhindwa kutofautisha kofia zake mbili! hapa tumetoa mifano inayofanywa na viongozi wa Kikristo, mbona haihusishwi na Ukristo? UAMSHO wakitumia DINI, siwezi kushangaa...hawa wanapigana vita....vita yoyote ni lazima utafute propaganda ya kukupatia wafuasi! Hawa wanafahamu kwamba, majority ya Wazanzibari ni Waislamu na ndio maana wametumia Uislamu kwavile wanafahamu watapata uungaji mkono kutoka kwa watu wasiotaka kutafuta ukweli kama nyinyi!
 
MKUU,,
Uko imara sana ndugu yangu...
 
Kuna Aya moja kwenye Biblia, nimeisahau...nitajitahidi kuikumbuka! Kuna siku nilimsikia Muhubiri mmoja akiitoa hiyo aya nami niliposikia, nikashituka kidogo! Lakini labda tu nitoe mfano sawa na kile ambacho nilikisikia. Narudia, hapa natoa mfano tu wa aya yenyewe! Say, nilisikia inasema :"Wale wote wanaoamini kwamba Yesu alikufa na Kufufuka, basi ni watu waliopotoka!" Niliposikia, nilijiuliza swali moja, Je, inawezekana kweli Biblia iwe na kifungu kama hicho halafu Wakristo wote duniani waendelee kuamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka?! Sio siri, nikapata mashaka na muhubiri huyo! Kwa mara kwanza maishani mwangu, nikaenda kusoma Biblia! Nikakuta ni kweli hicho kifungu kipo! HOWEVER, endapo unaanza kuisoma aya hiyo kwa kuanza na aya za juu...utakuta kilichoaaminishwa kwenye kifungu hicho ni tofauti na kile mbacho Muhubiri yule alitaka kuamin!

Nini maana ya mfano huo!! Na nyinyi mnatakiwa kuwa reasonable na sio kumeza kila kitu na kuhukumu! Hata kama hao uliowataja wanasema wanafanya hayo kwa mujibu wa Quran, basi thibitisha vinginevyo utawachukia bure majirani zako kwa kuwaona maadui!

Ni kweli, Uislamu umezungumza kwa uwazi kabisa kuhusu suala zima la vita! Na kuna Aya kabisa, inaitwa Surat Tawba! Hii sura imezungumzia masuala ya vita.

Tofauti na sura zote kwenye Quran ambazo zinaanza kwa kumtaja Mwenyezi Mungu, Sura ya Tawba haikuanza kwa kumtaja mungu! Haikuanza kwa kumtaja mungu kwa sababu Uislamu unafahamu wazi kwamba Vita si jambo jema la kuanza kulizungumzia kwa kuanza kumtaja Mwenyezi Mungu!! Lakini hata hivyo, Mungu alifahamu kwamba suala la vita haliepukiki kwani uasi ulianza tangu siku za mwanzo pale Ibilisi alipokaidi kumsujudia Nabii Adam mbele yake!

Kilichosisitizwa sana kwenye sura hiyo ni ruhusa ya Waislamu kujihami na kupigana endapo watashambuliwa. Hii ni kwa kuwa, wakati Mtume Muhammad anaanza kueneza neno la Mungu, alikuwa akipata shida sana yeye na wafuasi wake ya kushambuliwa. Mara kwa mara walikuwa wanapigwa na wengine kuuawa kwani zama hizo Arabia kulikua na uovu kupita kiasi! Kutokana na hilo, ndipo Mungu akatoa ruhusa ya wao kujihami na kupigana! Hilo, hata dunia ya leo linafanyika! hakuna jamiii ambayo kwa umoja wao wataanza kuuawa kisha wakakaa kimya! Narudia, jamii kwa umoja wao! Kwamba, leo hii Waislamu tuingie barabarani na mapanga na mashoka kisha tuanze kuwaua Wakristo; katu hamtakubali!

Ruhusa nyingine iliyopo katika kupigania dini ni pale inapoonekana kwamba mnakandamizwa kiasi cha kuwafanya msiabudu! Mathalani, serikali itangaze kufunga misikiti yote na kupiga marufuku kufanya ibada yoyote! hapo, Uislamu unatoa ruhusa ya kuipigani dini! Na am sure, hata kwa Ukristo ndio hivyo hivyo! Leo hii serikali ipige marufuku ibada zote za Kikristo, nchi hii haitakalika tena pamoja na madai yenu kwamba nyie ni watu wa amani!

So, ukiangalia yote hayo, utakuta hao wote wanaosema wanapigana kwa ajili ya Uislamu, NI WAONGO lakini nanyi, kwa makusudi kabisa, mnashindwa kutafuta ukweli! Joseph Kony wa Uganda anapigana vita vya kishenzi kabisa huku akitumia Ukristo; lakini huwezi kusikia Ukristo ukihusishwa na mambo ya Kony! Kuna wakati fulani wapumbavu fulani wakaeneza propaganda kwamba eti Joseph Kony amesilimu na kuwa Muislamu....walifanya hivyo ili waendelee kuupaka tope Uislamu!

Thanks a lot..
 
"If the theory doesn't fit the practice, ignore the theory." This is what you should take with you home!

Waislam,mmejaa unafiki sana kwa sababu mnachokihubiri tofauti na mnachokitenda.Mnatumia dhana ya kuvumiliana,suala hilo kwenye imani halipo.Tuwavumilie waislamu kuua wachungaji wetu,tuwavulie waislamu kuchoma makanisa yetu,tuwavumilie waislamu kutulisha ibada zenu za kuchinja wanyama.Mungu wenu Allah ni tofauti na Mungu wetu Jehova.Mungu wenu Allah anawafundisha muutete uislamu kwa kuua wakristo wakati Mungu wetu Jihova anatufundisha tuwapende adui zetu.Waislamu mna ajenda ya kuukandamiza ukristo ndani nchi hii.Wakristo tumewatambua.Haiwezekani ndani ya nchi moja tunahubiri kuvumiliana,lakini ni waislam tu wanawataka wakristo wawavumilie waislam.Mbona hakuna mahali popote waislam mmewavumilia wakristo.

Viongozi wa dini ya kiislam na viongozi wakuu wa serikali hii ya CCM ambao asilimia kubwa ni waislam,ajenda yao ni moja tu,kuifanya nchi hii iwe kama Nigeria ilivyo.Watanzania kwa sauti moja tunasema na kuwakataa with a big NO.AGENDA YENU YA KUISLIMISHA NCHI HII haitafanikiwa.
 
Usijitie upofu, tafuta majibu ya mambo! Kwani hufahamu wanachokipigania UAMSHO?! Wale wanaipigania Zanzibar yao, PERIOD! Farid kuwa Sheikh hakumuondolei haki ya kuipigania ZNZ yake! Lakini kwavile yeye ni Sheikh, ndipo unakuta watu kama nyie mliyezoea kulishwa propaganda ndipo mnaposhindwa kutofautisha kofia zake mbili! hapa tumetoa mifano inayofanywa na viongozi wa Kikristo, mbona haihusishwi na Ukristo? UAMSHO wakitumia DINI, siwezi kushangaa...hawa wanapigana vita....vita yoyote ni lazima utafute propaganda ya kukupatia wafuasi! Hawa wanafahamu kwamba, majority ya Wazanzibari ni Waislamu na ndio maana wametumia Uislamu kwavile wanafahamu watapata uungaji mkono kutoka kwa watu wasiotaka kutafuta ukweli kama nyinyi!
Swali hapa liko hivi, Je, harakati na mbinu wanazotumia UAMSHO kudai zanzibar zinakubalika kwa mujibu wa kiislamu?, kwa nilivyokuelewa unadai hazikubaliki. Kama hazikubaliki ni kwanini zinapata uungwaji mkubwa na jamii kubwa ya kiislamu zanzibar?, Je, kama uislamu ni dini ya amani, kwa nini basi umma wa kiislamu wa zanzibar uvutiwe na mahubiri ya UAMSHO ambayo yanachochea chuki, ubaguzi, fujo na mauaji?, Je, tukubaliane sasa kwamba waislamu ni wanafiki wanaodai dini yao ni ya amani huku wakiunga mkono vurugu kama zile za uamsho?
 
Kwa asilimia kubwa umeeleweka, lakini baadhi ya vitu umepindisha, mfano, Muhammad hakupigana vitu ili kujihami alipovamiwa ila alipigana vita kuwalazimisha watu wafuate mafundisho yake. Huu ndio msingi mkuu wa uislamu, uislamu unalazimisha, hata Qurani imetamka kuwa Allah anakuamrisha kufuata sheria zake. Ndio maana pia waislamu wanahitaji mahakama ya dini ili iwalazimishe kufuata Qurani.
Hizi ndio chembechembe ambazo ziko hata hapa kwetu, mfano Zanzibar ukila hadharani wakayi wa mfungo unaweza kukamatwa au kupigwa. kwanini?, unalazimishwa kufuata uislamu.
Kuna Aya moja kwenye Biblia, nimeisahau...nitajitahidi kuikumbuka! Kuna siku nilimsikia Muhubiri mmoja akiitoa hiyo aya nami niliposikia, nikashituka kidogo! Lakini labda tu nitoe mfano sawa na kile ambacho nilikisikia. Narudia, hapa natoa mfano tu wa aya yenyewe! Say, nilisikia inasema :"Wale wote wanaoamini kwamba Yesu alikufa na Kufufuka, basi ni watu waliopotoka!" Niliposikia, nilijiuliza swali moja, Je, inawezekana kweli Biblia iwe na kifungu kama hicho halafu Wakristo wote duniani waendelee kuamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka?! Sio siri, nikapata mashaka na muhubiri huyo! Kwa mara kwanza maishani mwangu, nikaenda kusoma Biblia! Nikakuta ni kweli hicho kifungu kipo! HOWEVER, endapo unaanza kuisoma aya hiyo kwa kuanza na aya za juu...utakuta kilichoaaminishwa kwenye kifungu hicho ni tofauti na kile mbacho Muhubiri yule alitaka kuamin!

Nini maana ya mfano huo!! Na nyinyi mnatakiwa kuwa reasonable na sio kumeza kila kitu na kuhukumu! Hata kama hao uliowataja wanasema wanafanya hayo kwa mujibu wa Quran, basi thibitisha vinginevyo utawachukia bure majirani zako kwa kuwaona maadui!

Ni kweli, Uislamu umezungumza kwa uwazi kabisa kuhusu suala zima la vita! Na kuna Aya kabisa, inaitwa Surat Tawba! Hii sura imezungumzia masuala ya vita.

Tofauti na sura zote kwenye Quran ambazo zinaanza kwa kumtaja Mwenyezi Mungu, Sura ya Tawba haikuanza kwa kumtaja mungu! Haikuanza kwa kumtaja mungu kwa sababu Uislamu unafahamu wazi kwamba Vita si jambo jema la kuanza kulizungumzia kwa kuanza kumtaja Mwenyezi Mungu!! Lakini hata hivyo, Mungu alifahamu kwamba suala la vita haliepukiki kwani uasi ulianza tangu siku za mwanzo pale Ibilisi alipokaidi kumsujudia Nabii Adam mbele yake!

Kilichosisitizwa sana kwenye sura hiyo ni ruhusa ya Waislamu kujihami na kupigana endapo watashambuliwa. Hii ni kwa kuwa, wakati Mtume Muhammad anaanza kueneza neno la Mungu, alikuwa akipata shida sana yeye na wafuasi wake ya kushambuliwa. Mara kwa mara walikuwa wanapigwa na wengine kuuawa kwani zama hizo Arabia kulikua na uovu kupita kiasi! Kutokana na hilo, ndipo Mungu akatoa ruhusa ya wao kujihami na kupigana! Hilo, hata dunia ya leo linafanyika! hakuna jamiii ambayo kwa umoja wao wataanza kuuawa kisha wakakaa kimya! Narudia, jamii kwa umoja wao! Kwamba, leo hii Waislamu tuingie barabarani na mapanga na mashoka kisha tuanze kuwaua Wakristo; katu hamtakubali!

Ruhusa nyingine iliyopo katika kupigania dini ni pale inapoonekana kwamba mnakandamizwa kiasi cha kuwafanya msiabudu! Mathalani, serikali itangaze kufunga misikiti yote na kupiga marufuku kufanya ibada yoyote! hapo, Uislamu unatoa ruhusa ya kuipigani dini! Na am sure, hata kwa Ukristo ndio hivyo hivyo! Leo hii serikali ipige marufuku ibada zote za Kikristo, nchi hii haitakalika tena pamoja na madai yenu kwamba nyie ni watu wa amani!

So, ukiangalia yote hayo, utakuta hao wote wanaosema wanapigana kwa ajili ya Uislamu, NI WAONGO lakini nanyi, kwa makusudi kabisa, mnashindwa kutafuta ukweli! Joseph Kony wa Uganda anapigana vita vya kishenzi kabisa huku akitumia Ukristo; lakini huwezi kusikia Ukristo ukihusishwa na mambo ya Kony! Kuna wakati fulani wapumbavu fulani wakaeneza propaganda kwamba eti Joseph Kony amesilimu na kuwa Muislamu....walifanya hivyo ili waendelee kuupaka tope Uislamu!
 
Kwan serikali haichukui hatua??
Shekhe farid Rais shein si kamweka ndan kutokana na uchochezi?
Ponda pia si kawekwa ndani kutokana na zile vurugu?
Hakuna anaeshabikia vurugu,huu ndio ukweli wenyewe..
Unafiki ns uongo ndio sifa ya yule wa zamani, na dini yenu imejengwa ktk misingi hiyo ya unafiki na uongo. Unaposema shehe ponda kawekwa ndani kutokana na vurugu na kwamba hamshabikii vurugu unadhihilisha unafiki, wanaoandamana mara kwa mara kudai shehe ponda aachiwe sio waislamu?, Je, hii sio kushabikia zile vurugu ambazo ndio sababu ya yeye kuwekwa ndani?
 
MKUU,,
Uko imara sana ndugu yangu...
Mkuu, DULLAH, kuonyesha kuwa wakristo sio waongo wala wanafiki, hakuna mkristo yeyote popote pale aliyemuunga mkono huyo konyi unayemsema, lakini waislamu aidha kwa siri au hata hadharani walimuunga mkono Osama aliyehimiza kulipua na kuua watu.
 
Niambie ni waislam gani waliomuunga mkono OSAMA??
SEMA UKWELI...
 
Unafiki ns uongo ndio sifa ya yule wa zamani, na dini yenu imejengwa ktk misingi hiyo ya unafiki na uongo. Unaposema shehe ponda kawekwa ndani kutokana na vurugu na kwamba hamshabikii vurugu unadhihilisha unafiki, wanaoandamana mara kwa mara kudai shehe ponda aachiwe sio waislamu?, Je, hii sio kushabikia zile vurugu ambazo ndio sababu ya yeye kuwekwa ndani?

Wewe si umesema serikali haichukui hatua na kwamba waislam wanaonekana wanachukuliwa rahis?
thats why nikakuambia Ponda kawekwa ndani sasa,na hao waislam wanasema ponda aachiwe wanasema hivo kwa mantiki ya kwamba kisheria ana haki ya kupewa dhamana,na ponda hasa uchoche wake ni upi?
ponda case yake ni kuhusu kiwanja na malumbano kati ya jumuiya yao,mnunuzi wa kiwanja kile na bakwata,au wewe hufaham hilo??
 
Kwa asilimia kubwa umeeleweka, lakini baadhi ya vitu umepindisha, mfano, Muhammad hakupigana vitu ili kujihami alipovamiwa ila alipigana vita kuwalazimisha watu wafuate mafundisho yake. Huu ndio msingi mkuu wa uislamu, uislamu unalazimisha, hata Qurani imetamka kuwa Allah anakuamrisha kufuata sheria zake. Ndio maana pia waislamu wanahitaji mahakama ya dini ili iwalazimishe kufuata Qurani.
Hizi ndio chembechembe ambazo ziko hata hapa kwetu, mfano Zanzibar ukila hadharani wakayi wa mfungo unaweza kukamatwa au kupigwa. kwanini?, unalazimishwa kufuata uislamu.

Unyoyaongea hayana ukweli wowote..
Sio vyema kuongea uongo na upotoshaji kwa makusudi kama hivi..
 
Swali hapa liko hivi, Je, harakati na mbinu wanazotumia UAMSHO kudai zanzibar zinakubalika kwa mujibu wa kiislamu?, kwa nilivyokuelewa unadai hazikubaliki. Kama hazikubaliki ni kwanini zinapata uungwaji mkubwa na jamii kubwa ya kiislamu zanzibar?, Je, kama uislamu ni dini ya amani, kwa nini basi umma wa kiislamu wa zanzibar uvutiwe na mahubiri ya UAMSHO ambayo yanachochea chuki, ubaguzi, fujo na mauaji?, Je, tukubaliane sasa kwamba waislamu ni wanafiki wanaodai dini yao ni ya amani huku wakiunga mkono vurugu kama zile za uamsho?

Umeshaambiwa hao wanatumia gia hiyo kwa pamoja kudai zanzibar yao,,
Niambie ni lini umeskia waislam wa bara wanawaunga mkono uamsho?
hao wazanzibar wanaowaunga mkono uamsho si nikwa kuwa wanahitaji upatikanaji wa zanzibar yao kama wanavowish kuwa?
 
Unyoyaongea hayana ukweli wowote..
Sio vyema kuongea uongo na upotoshaji kwa makusudi kama hivi..
Sidhani kama kuna kitu kinachohitaji uthibitisho hapo. kila kitu kipo wazi. uwongo ni upi hapo?, mtume hakupigana na makafiri waliogomea mafundisho yake?, waislamu hawahitaji mahakama ili kuhakikisha wanafuata sheria za allah?,Zanzibar hakuna marufuku ya kula hadharani kipindi cha mfungo?, uongo hapo ni upi ustadhi.
 
Back
Top Bottom