is it true?

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
salaam wapendwa.

jamani hivi ni kweli wanaume wengi walio na umri kuanzia miaka 40 kwenda juu, uwezo wao wa kufanya mapeni ni mdogo?

Mfano, aki do mara 1, hawezi tena mpaka mwezi upite or wiki 2.
 
Mimi nawatetea sio kweli kabisa inategemea na mtu na mtu. Wewe kuna wanaume wana 55 mtoto wa 18 haoni ndani.
 
salaam wapendwa.

jamani hivi ni kweli wanaume wengi walio na umri kuanzia miaka 40 kwenda juu, uwezo wao wa kufanya mapeni ni mdogo?

Mfano, aki do mara 1, hawezi tena mpaka mwezi upite or wiki 2.
Umedanganywa we jaribu uone moto wao au aliyekuambia ni muongo, inategemea huyo mtu wa 40 years kiafya yukoje kama ana kisukari au magonjwa mengine yanayoathiri utendaji wa kiungo hicho sawa otherwise ngo'ombe hazeeki maini kudadadeki!:mad2:
 
Sio kwelii mtoa mada tena ukifikisha miaka 40 kuna utafiti unaonyesha unajisikia kijana tena na ukichunguza ndoa nyingi zinamatatizo mmoja wapo akifikisha huo umri!

Sidhani hakuna kitu kama hicho watu wanaomba maji jinsi wanavyojituma. labda kama anaumwa kisukari hapo ni shughuli ingine
 
Back
Top Bottom