Is Erick Omondi provoking the holy spirit?

Mleta mada huna adabu, kutuwekea matusi hapa ndio nini? Huu ujinga wenu muuache huko huko Instagram.

Moderator edit hiyo thread.
 


Baada ya eric kupost hii picha, watu 'watokwa povu'.

NB: Hii adhabu ya kusulubiwa ilitumika ancient Rome, kuadhibu watumwa, wafungwa, wachawi etc.

Adhabu ya kusulubiwa haina mafungamano yoyote na ukristu, ni adhabu tu ya kipagani ya watu wa kale,msalaba ni inshu wa wapagani wa kale, tuache ujinga wa kiwango cha lami.

Mods naomba mtuache tubadilishane mawazo..
 
kikubwa ni kwamba huu unaoitwa upuuzi ingekuwa upande wetu, muda huu watu tungekuwa barabarani tunaandamana na jamaa kashatangaziwa nanii ile adhabu ya kukatwa kichwa. Wenzetu hawataifuatilia, wataipotezea tu. Peace and Love
 
Wa Africa tupo sensitive sana kuhusu dini. Mi nilijua ni waislamu tu kumbe hata wakristo ni yale yale. Mbona wazungu wenye dini yao hawako hivi sasa nyie povu la nini? Ni kichekesho tu
 


Baada ya eric kupost hii picha, watu 'watokwa povu'.

NB: Hii adhabu ya kusulubiwa ilitumika ancient Rome, kuadhibu watumwa, wafungwa, wachawi etc.

Adhabu ya kusulubiwa haina mafungamano yoyote na ukristu, ni adhabu tu ya kipagani ya watu wa kale,msalaba ni inshu wa wapagani wa kale, tuache ujinga wa kiwango cha lami.

Mods naomba mtuache tubadilishane mawazo..
Poa bob Kweli
 
c2bf32fb3044c68644b5f5b87fe037d8.jpg
 
Binafsi ni mkristo...... ikiwa mwigizaji kutokea uiengereza, Bryan Deacon aliyeigiza ktk filamu ilyojipatia umaarufu duniani kote ya the passion of Christ hatutamuona kuwa alidhihaki kwa alichokifanya yaani kuigiza maisha ya Yesu basi kumlaumu eric omondi kwa scene moja itakuwa ni unafiki Mkubwa ambao sisi wakristo tutakuwa tunaufanya. Ikumbukwe kuwa makanisani na ktk machapisho mengi ya vitabu vya wakristu picture ya Bryan Deacon hutumika kumwakilisha Yesu na wengi hudhani kuwa ndye Yesu. Itakumbukwa kuwa Bryan Deacon ni msanii wa filamu km walivyo akina Ray kigosi, JB, William Smith na wengine wengi ambao unaweza kuwataja. Ikumbuke kuwa wakati flani wayahudi walimtia ktk scandal kubwa sana baada ya msanii huyo wa filamu kugundulika kuwa hauishi ukristu kwani alikuwa ni mlevi wa kupindukia. Na hata hvyo Bryan Deacon alishawaomba wakristu kutotumia picture ama mfano ulio wa sura yake kwani yy sio masihi na pale alikuwa kazini.....lastly eric emondi amemuigiza mwizi msalabani na sio masihi km mnavyodhana.... I declare interest kuwa kwangu mm hii ndyo the best version of kuliko jana. Kabla haujamlaani erick basi anza kumlaani Bryan Deacon na tena shinikiza picture zake zisitumike makanisani
 
Back
Top Bottom