Iringa yageuka sauzi

Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
812
468
Kilicho tokea Iringa haina tofauti na afrika kusini lakini wale wote waliostakiwa kwa mauji ya wanamgodi wamefutiwa mastaka,je hapa kwetu itakuaje maana nasikia kuna watu wanashikiliwa kwa mauji ya mwandishi wakati waliouwa ni polisi.Wadau kazi kwenu
 
Hawataweza..,kuwashkilia hao haisaidii,walioua ni polisi
 
Kilicho tokea Iringa haina tofauti na afrika kusini lakini wale wote waliostakiwa kwa mauji ya wanamgodi wamefutiwa mastaka,je hapa kwetu itakuaje maana nasikia kuna watu wanashikiliwa kwa mauji ya mwandishi wakati waliouwa ni polisi.Wadau kazi kwenu

.
Nchi kama basi lenye dreva wake(rais) lishapoteza mwelekeo lipo porini linaruka visiki huku dereva akiwa amelala usingizi wa pono.
.
 
kazi kweli. Hii nchi ni kama inaongozwa na kitoto cha chekechea vile!
 
hakuna kitu hapo na hakuna mwenye uwezo wa kupanua kinywa chake na kusema lolote zaidi ya hizi story moja mbili tatu za vijiwen na mtandaoni . Kwani nimangapi yametokea??
 
Back
Top Bottom