Iringa: Mtoto huyu akutwa ametupwa porini eneo la Mafifi

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Mtoto huyu akutwa ametupwa porini eneo la Mafifi katika Manispaa ya Iringa Leo ,inasadikika ametupwa usiku na amelala porini
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20141221-WA0047.jpg
    IMG-20141221-WA0047.jpg
    103.9 KB · Views: 11,798
Loh jamani watu wana roho mbaya katoto kazuri sana maskini kosa lake ni nini? Kuja duniani iwe sababu ya yeye kuteseka? Inaskitisha sana
 
Kuna Watu tuna Roho mbaya , kuliko hata wanyama mwitu. Huyo mzazi/ mlezi aliyefanya hilo akipatikana afungwe maisha kabisa.
 
nadhani walimwengu walitaka kumtoa kafara ila mwenyezi mungu akafanya miujiza
 
Loh jamani watu wana roho mbaya katoto kazuri sana maskini kosa lake ni nini? Kuja duniani iwe sababu ya yeye kuteseka? Inaskitisha sana

Kosa lake ni kuja duniani,kutokana na matumizi mabaya ya viuongo vya uzazi vya wanadamu.
 
Pole mtoto, nafikiri walikwenda kwa babu wakaambiwa wakutoe wawe matajiri lakini mungu aliyekuleta duniani hakuona kosa lako, serikali itoe adhabu kali kwa wahusika.
 
Masikini mtoto mzuri, tunamlaani, we ni muuaji. Hasa wanafunzi wa vyuo vya mjini iringa mnawazalisha watoto wa watu alafu mnawatelekeza ndo matokeo yake hyo.
 
Natamani nipate chance ya kukutana na mama yake hata ndotoni. Shame on you idiot woman,watu tunahaha huku na kule kutafta mtoto wa kumbeba wewe m.s.e.n.g.e unamtupa mtoto!
 
Wanawake inabidi ifike mahali tubadilike, kama huwez tena kumlea mtoto uliyenae muweke hata mlangon kwenye vituo vya watoto yatima atalelewa na siyo unyama kama huu.
 

Hata punda anamzidi binadamu kwa kujali watoto wake siku hizi.

So sad!!!
 
Back
Top Bottom