Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri sana wokovu kutoka kwa Iran.
Nafikiri Iran imeshauriwa vizuri maana ilisubiriwa sana ifanye ujinga wowote, ingesambaratishwa kinoma yaani.
===========================

Supreme leader informed Haniyeh decision due to failure to notify Tehran before Oct. 7 onslaught, instructed him to ‘silence’ those urging Iranian involvement, according to Reuters​

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.

In a report Wednesday citing “three senior officials,” Reuters said Khamenei had told Haniyeh that, while Iran would offer political support to Hamas, it would not “intervene directly” in the fight.

The Iranian leader also reportedly asked Haniyeh to “silence those voices” in Hamas calling for Iran and its proxy terror group Hezbollah to directly join the war against Israel “in full force.”
 
😂😂😁😁😂😀. Mungu ibariki Israel.
Screenshot_20230515-172320.png
 
Ule mpango wa Iran umefanikiwa kwa kias chake japo sio kwa muda mrefu. Lengo lake ilikuwa Israel na Saudi Arabia wastop kuingia mkataba wa aman
 
Ndio mumebaki wenyewe sasa, yaani Israel anajipigia tu hayo magaidi yenu na hakuna kenge atakayeingilia kati.....
Iran imekoswakoswa aisei, kulikua na nia ya kuifanya kitu kibaya.............
Thubutu!!!!
Gaza Ni kaeneo kadogo Sana 40km by 10 km by 13 km, kaeneo haka kamezingirwa na Israel pande zote lakini imeichukua IDF zaidi ya mwezi na nusu kufika Al Shifa hosp.
Kumbuka Hamas hawana jeshi, hawana umeme, hawana maji, hawana msaada toka Marekani, hawana vifaru, hawana ndege lkn wamelidindishia jeshi la nchi na washirika wake marekani kwa mwezi na nusu.
Je ingekua Iran? Israel ingechakazwa na hiyo iron dome ingefanywa Kama neti ya kuvulia papa.
 
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri sana wokovu kutoka kwa Iran.
Nafikiri Iran imeshauriwa vizuri maana ilisubiriwa sana ifanye ujinga wowote, ingesambaratishwa kinoma yaani.
===========================

Supreme leader informed Haniyeh decision due to failure to notify Tehran before Oct. 7 onslaught, instructed him to ‘silence’ those urging Iranian involvement, according to Reuters​

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.

In a report Wednesday citing “three senior officials,” Reuters said Khamenei had told Haniyeh that, while Iran would offer political support to Hamas, it would not “intervene directly” in the fight.

The Iranian leader also reportedly asked Haniyeh to “silence those voices” in Hamas calling for Iran and its proxy terror group Hezbollah to directly join the war against Israel “in full force.”
Kazi ipo
 
Iran analinda maslahi yake. Aingize pua Kule Israel ili aanzishe vita na isarel . Anajua wakiingia vitani na Isarel. Isarel itasambaratisha na kulipua visima vyote vya mafuta vya Iran . hivyo kuharibu uchumi wa Iran . Wananchi hawawezi kukubali kuharibiwa uchumi wake
 
Maayatollah network imerudi, tukiweka ushabiki pembeni mataifa ya kiarabu yenye akili yanajua kabisa huwezi kumshinda Israel kwenye uwanja wa vita na hata kwa kuangalia vita walizopigana miaka yote Israel alishinda kwa kishindo na mataifa ya kiarabu yalipokonywa ardhi

Kikubwa sheikh ponda afanye mpango wa maandamo maana tumechoka kunyanyaswa na waisrael 😁😁
 
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri sana wokovu kutoka kwa Iran.
Nafikiri Iran imeshauriwa vizuri maana ilisubiriwa sana ifanye ujinga wowote, ingesambaratishwa kinoma yaani.
===========================

Supreme leader informed Haniyeh decision due to failure to notify Tehran before Oct. 7 onslaught, instructed him to ‘silence’ those urging Iranian involvement, according to Reuters​

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.

In a report Wednesday citing “three senior officials,” Reuters said Khamenei had told Haniyeh that, while Iran would offer political support to Hamas, it would not “intervene directly” in the fight.

The Iranian leader also reportedly asked Haniyeh to “silence those voices” in Hamas calling for Iran and its proxy terror group Hezbollah to directly join the war against Israel “in full force.”
Mazatuni ni watu hatari sana, wanajua futna za ndani na za nje pia. Haya sasa, Muajemi hataki makuu. Israel nj jeshi kubwa
 
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei reportedly told Hamas chief Ismail Haniyeh earlier this month that, since Tehran was not given prior notice of the devastating terror onslaught of October 7, it would not join the war against Israel.
Ayatollah ana hekima, anaogopa kipondo cha kujitakia cha mbwa koko
 
Thubutu!!!!
Gaza Ni kaeneo kadogo Sana 40km by 10 km by 13 km, kaeneo haka kamezingirwa na Israel pande zote lakini imeichukua IDF zaidi ya mwezi na nusu kufika Al Shifa hosp.
Kumbuka Hamas hawana jeshi, hawana umeme, hawana maji, hawana msaada toka Marekani, hawana vifaru, hawana ndege lkn wamelidindishia jeshi la nchi na washirika wake marekani kwa mwezi na nusu.
Je ingekua Iran? Israel ingechakazwa na hiyo iron dome ingefanywa Kama neti ya kuvulia papa.

Mliwasifu sana ile october 7,kuvamia,kuua na kuteka bila kusahau kutumia rokets,leo hawana kila silaha sijui yale maroketi yalikua yanatoka zenji,magaidi tulieni mwanaume awashunghulikieni ipasavyo.
 
Thubutu!!!!
Gaza Ni kaeneo kadogo Sana 40km by 10 km by 13 km, kaeneo haka kamezingirwa na Israel pande zote lakini imeichukua IDF zaidi ya mwezi na nusu kufika Al Shifa hosp.
Kumbuka Hamas hawana jeshi, hawana umeme, hawana maji, hawana msaada toka Marekani, hawana vifaru, hawana ndege lkn wamelidindishia jeshi la nchi na washirika wake marekani kwa mwezi na nusu.
Je ingekua Iran? Israel ingechakazwa na hiyo iron dome ingefanywa Kama neti ya kuvulia papa.

Imechukua muda maana mazombi yenu yamejificha ndani ya watu, hayana jeuri ya kupambana yawahishwe kwa mabikira.
 
Back
Top Bottom