Iran yasema kama Israel hawatavamia, basi HAMAS wataachia mateka, wanaweweseka sana hawa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,439
Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran.
Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza kukifanya maana vita vikiibuka baina ya Iran na Israel, basi hao Iran watarudishwa nyuma miaka 100 back to stone age.....
===========================

In this photo released on Aug. 11, 2022, by the Iranian Foreign Ministry, Foreign Ministry spokesperson Nasser Kanaani speaks in Tehran, Iran.  (Iranian Foreign Ministry via AP, File)

Iran’s Foreign Ministry says that Hamas potentially was ready to release the nearly 200 hostages it is holding if Israel stops its campaign of airstrikes on the Gaza Strip. The terror group hasn’t acknowledged making such an offer.
Iranian Foreign Ministry spokesman Nasser Kanaani speaks at a news conference in Tehran. Iran is a main sponsor of Hamas in its fight against Israel.
Hamas officials “stated that they are ready to take necessary measures to release the citizens and civilians held by resistance groups, but their point was that such measures require preparations that are impossible under daily bombardment by the Zionists against various parts of Gaza,” according to Kanaani.
 
Hamars
IMG_20231014_144106.jpg
 
Iran ni kama mbwa koko wameshaona mazingira kwamba possibility ya Israel kuingia Gaza yumkini ikagharishwa sababu ya jitihada za mataifa makubwa kuopoza mzozo huu yeye anakuja na ngonjera .
 
Kwa israel anaogopa mataifa makubwa sio?
Mnajidanganya sana
 
Wameshaanza kujiumbua kwa mbaali kuwa wao ndio wako nyuma ya mgongo wa Hamas halafu kuna watu wana walaani wamagharibi kwa kuwaunga mkono waisrael.
 
Iran ni kama mbwa koko wameshaona mazingira kwamba possibility ya Israel kuingia Gaza yumkini ikagharishwa sababu ya jitihada za mataifa makubwa kuopoza mzozo huu yeye anakuja na ngonjera .
Marekani wamegoma kuisupport Israel kuvamia Gaxa . Israel wamenyea nsa kusitisha mpango wao.
 
Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran.
Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza kukifanya maana vita vikiibuka baina ya Iran na Israel, basi hao Iran watarudishwa nyuma miaka 100 back to stone age.....
===========================

In this photo released on Aug. 11, 2022, by the Iranian Foreign Ministry, Foreign Ministry spokesperson Nasser Kanaani speaks in Tehran, Iran. (Iranian Foreign Ministry via AP, File)
Iran’s Foreign Ministry says that Hamas potentially was ready to release the nearly 200 hostages it is holding if Israel stops its campaign of airstrikes on the Gaza Strip. The terror group hasn’t acknowledged making such an offer.
Iranian Foreign Ministry spokesman Nasser Kanaani speaks at a news conference in Tehran. Iran is a main sponsor of Hamas in its fight against Israel.
Hamas officials “stated that they are ready to take necessary measures to release the citizens and civilians held by resistance groups, but their point was that such measures require preparations that are impossible under daily bombardment by the Zionists against various parts of Gaza,” according to Kanaani.
Kenya vipi, mmemalizana na vijana wa Somalia?
 
Israel hatajali chochote kile,atawapiga Hamas hata kama hao mateka watakufa
Haipo hivyo hawawezi kuua watu wao hata siku moja siyo wajinga kama wewe unayeongozwa na chuki na hisia, wenzako wapo kwenye majadiliano saa hizi jinsi ya kumaliza mgogoro huu kwa siku zijazo
 
Back
Top Bottom