Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Kwani ni marufuku kusafirisha au kupitisha Uranium Tanzania? mnachekesha! hivi sasa tumeanza kuichimba au hamna habari?
Mijitu mingine bwana haina hata haya kwa kutokujuwa mambo.
nani ananufaika na huo uchimbaji?