Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira....

Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with the matter said.

The Guards have suffered one of their most bruising spells in Syria since arriving a decade ago to aid President Bashar al-Assad in the Syrian war. Since December, Israeli strikes have killed more than half a dozen of their members, among them one of the Guards' top intelligence generals.

As hardliners in Tehran demand retaliation, Iran's decision to pull out senior officers is driven partly by its aversion to being sucked directly into a conflict bubbling across the Middle East, three of the sources told Reuters.

Iran ya buza hii, ule mpango wa axis of resistance upo sana labda mkaivamie Iran muutoe ule utawala , kinyume na hapo tabu iko pale pale
 
Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira....

Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with the matter said.

The Guards have suffered one of their most bruising spells in Syria since arriving a decade ago to aid President Bashar al-Assad in the Syrian war. Since December, Israeli strikes have killed more than half a dozen of their members, among them one of the Guards' top intelligence generals.

As hardliners in Tehran demand retaliation, Iran's decision to pull out senior officers is driven partly by its aversion to being sucked directly into a conflict bubbling across the Middle East, three of the sources told Reuters.

Wahangaike kwanza kupata mahitaji yao kupitia red sea ambayo hawaruhusu mali yoyote ya israel kupita, mwaka huu israel mpaka waseme wamwbanwa kila kona
 
Attachments

  • Screenshot_20240203-140745_Chrome.jpg
    Screenshot_20240203-140745_Chrome.jpg
    142.2 KB · Views: 1
Anaruka ruka huyo, kwanza ameshazika wale jamaa watatu?

Ushahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.
 
Kubwa na magaidi Iran anasubiriwa anase kwenye ndoano ili watu waanze kumshughulikia
 
Back
Top Bottom